Wakuu salam.
Nahitaji pikipiki kwa mkataba.
Si lazima iwe mpya, hata kama imetumika,ila iwe katika hali nzuri.
Kama inahitaji matengenezo,tutazungumza.
Napatikana mabibo, Dar es salaam.
Aliye...
Natafuta apartment ya kupanga maeneo ya GOBA , iwe ya vyumba viwili kimoja master yenye jiko na sebule,, na parking,.. inahitajika fasta,, budget 250 mpaka 300
Nyumba ina wiring, gypsum kisasa,Aluminium windows, tiles, vyoo viwili ndani vyumba vya kulala 3,kitchen,sitting room, Ina miundombinu ya maji ndani,ina kisima cha maji baridi ya kunywa,Ina chumba...
Natafuta apartment ya kupanga maeneo ya morroco hadi victoria kule, iwe ya chumba kimoja master yenye jiko na sebule,, hata vyumba viwili sio mbaya,, ikipatikana tushtuane pm
JAMANI MAISHA YENYEWE NDO HAYA HAYA
mnao oana msitifanyie hivi,,, kumbukumbu muhimu sana sisi kama vijana tuna kampuni yetu inayo jihusisha na sherehe mbalimbali kwa bei inayoendana na kazi
065551912
Habari jaman natafuta mfanyakazi wa saloon awe wa mwanamke/mwanaume awe mtaalamu wa mambo yote ya saloon,
kujua kusuka vizurii, kushonea na kubond weaving vizuri aina zote, kuset na kubana style...
NATUMAI MKO SALAMA WANA JWUKWAA.
NAOMBA KUFAHAMISHWA NI SEHEMU GANI KWA HAPA DAR AMBAPO NAWEZA KUPATA MABELO YA MTUMBA YA NGUO ZA WATOTO NA YANAUZWA KWA BEI GANI,,, AU MWENYE KUFAHAMU ACCOUNT...
Helo guys
Kwa alie ndani na nje ya mkoa wa Mwanza na unatatizo la computer yako nicheki nitakuhudumia na kukupa ushauri juu ya kifaa chako pia tunazo window za aina zote yaani 7, 8, 8.1, na 10...
Mwenye Gaming CPU aje tufanye exchange na Laptop
Dell Latitude E6220
Core i5 2nd Gen
Processor 2.50 GHz (4 CPUs)
Ram 4GB
HDD 210
No Battery
Nahitaji CPU yenye Kusukuma Games hizi
Fifa 18
Fifa 19...
Kwanza kabisa poleni na changamoto za kila siku katika kutafuta mkate wa kila siku
Wakuu nawakaribisha kwenye project ya kutaka kuwakomboa wasomi kuanzia form 4, cheti, diploma, degree koz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.