Tunapangisha GODOWN, lipo KEKO MWANGA, NAPINDUZI STREET EX-BHESCO PREMISES, karibu kabisa na TAMESA pia na MSD (Medical Stores Department). Lina size ya sq. meter 190 na lina chumba kidogo cha...
Habari mtanzania karibu ujipatie majishe ya kuangulia vifaranga tunazounda wenyewe mashine hii inaitwa kiben 10
Inabeba maya 1800 ikiwa na umbo dogo na mwonekano mzuri na ufanisi wa uhakika...
Wakuu habari za muda,
Nipo kwenye kipindi cha kujiandaa ndani ya hii miaka miwili, nijiajiri. Nataka nipate huduma ya kusajiliwa kampuni, ni wapi nitapata huduma hiyo, kuna mambo yananibana...
Kuna jambo napenda nilijulishwe kutoka kwa member yeyote anayeishi Mumbai au maeneo ya karibu na jiji hilo, kama una nia ya kunipatia suluhisho la jambo hilo basi naomba tuwasiliane kwenye PM...
Habari wadau! Tunauza lady handbag(mikoba ya kike) jumla na rejareja tunapatikana Tabata-kinyerezi dar es salaam
Bei zetu ni nafuu sana
Contact-0712504655
Kutoka Bongo5.com
Kampuni ya simu za mkononi chini, Vodacom Tanzania baada ya kufanya gulio mwisho wa wiki iliyopita ambapo simu imara ziliuzwa kwa bei nafuu kuwahi kutokea. Kampuni hiyo...
Habari wadau
Kama wewe unahitaji kununua gari au tayari unamiliki gari karibu ukutane na wamiliki wenzako magari mpeane changamoto za kutunza Magari!,tuna group letu la Telegram linaitwa...
Nauza simu hii Xiaomi MI Max Prime model
Ram 4GB
Storage 128GB
Fingerprint [emoji736]
Camera safi sana
Battery inakaa na chaji sana
Bei yake ni 420,000 tu
Contact me 0712222575
Wadau,
Kuna vifaa vya network vinauzwa. Vipo Zanzibar (Unguja), vilibaki wakati wa kufanya kazi fulani hapa sasa hatuwezi kuvirudisha Bara tena. Kama unavihitaji, please let me know. Bei ya...
Karibu ujipatia mikoba mizuri ya kimasai na Africa print kwa Bei nzuri jumla na rejareja,napatikana Babati Manyara na pia mawakala wapo mikoa 9.Dar es...
Natafuta mashine ya kukamulia juice ya miwa used, Offer yangu 800k.
Phone:0653 118 453
NB:Bei yake ikiwa mpya naijua.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.