Wakuu kwema. Nahitaji gari ya kukodisha kuanzia tarehe 03 hadi 07 June 2019. Gari iwe na uwezo wa kubeba watu sita. Mahali ni Dodoma. Najua baadhi yenu mnazo hizi gari. Njoo inbox tuongee.
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea nafasi za masomo ya
muda mrefu katika fani ya Sayansi kutoka Serikali ya Misri.
Masomo hayo ambayo ni kwa ngazi ya Shahada ya...
Shamba linauzwa mkoa wa pwani wilaya ya mkulanga kijiji kinaitwa pubu kibudi. Eneo ni hekari 3 ni eneo la tambalare kabisa.kila hekari ni millioni moja( 1 million). Hakuna dalali mi mwenyewe ndio...
Moja kati ya watoto ambao mzee wetu kapata hasara basi mmoja wapo ni huyu, ana miaka 60 lakini hapevuki alafu anaishi kwa njaa, ni aibu mzee kama huyu kuishi kwa kutegemea mrija wa ulaji kutoka...
Wandugu habar,yapata mwaka sasa niliandika nahitaji machine ya kutotoresha vifaranga nashukuru nilipata,kupitia humu jf,sasa nataka machine ya kutengeneza vyakula vya kuku anaefaham watengenezaji...
Wadau habari za leo.. Nimekwa nahitaji pesa ya faster.
Hivyo nauza kiwanja changu. Kipo Mwanza Maeneo ya Kishiri, kimepimwa kwa upimaji shirikishi ila bicon bado hawajakamilisha kutuwekewa...
Habari zenu humu ndani kwa wanajamii wezangu ningependa kujuwa wap nitapata zao la oregano kwa anayejuwa nahitaji kwa wingi kwa mawasiliano zaid anitafute kwa whataspp 0685000606 or sms 0767000606
Usipange kukosa jamaa wanapiga Gospel Reggae kali sana pamoja na Cover za gospels nyingine in Reggae rhythms. Usikose ni pale UPANGA CCC.
Hawa jamaa wanajua kinoma, moja ya kitu kinanifurahisha...
Je wewe ni mfugaji wa kuku iwe wa chotara au wa kienyeji hakuna mfugaji anaefuga kuku ili apate hasara sio kuku Wa mayai au wa nyama wanaoleta faida Bali hata kuku Wa kienyeji wanafaida kubwa sana...
Kama kichwa hapo juu kinavyo eleza nafuta wateja wa jumla nitakao kuwa nawauzia sabuni kutoka kigoma kwa bei ya jumla kwa bei poa.
Sabuni hizi hutengenezwa kigoma ni nzuri kwa kuogea huondoa...
SAFIRI KIFALME, Kwa huduma za uhakika kwa usafirishaji abiria na mizigo, kupeleka watoto shule n.k, Tafadhali tupigie 0672 706 263, tupo Dar Es Salaam Temeke, Bei ni maelewano na ni nafuu sana.
Wakuu Assalam alykum.
Mimi ni Fundi wa Kampuni ya Estim construction ila kwa sasa niko Zanzibar
Nimefanya kazi kwenye majengo mengi Dar e Ssalaam yaliyojengwa na Kampuni ya Estim, kama Viva Tower...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.