Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Monitor flat screen ya dell kwa elfu 80 tu, Friji aina ya Zec inagandisha vizur tu inapatikana kwa laki moja na elfu ishirin, Samsung Galaxy S6 edge plus ina miezi mi 3 toka imetoka dukani kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari Wakuu, Natafuta chumba cha kupanga Maeneo ya Mwanza..Sifa Kubwa kiwe self-contained . . CONTACTS: 0743167208 / 0620265818
1 Reactions
7 Replies
4K Views
kwa mwenye gari toyota Celica automatic transmission ya milango miwili tuwasiliane chap tufanye biashara. iwe tu katika hali nzuri no D.... au C....
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Nimeingia Dukani kwa mangi kununua mo energy mangi akanipa kinywaji kimeandikwa mo xtra nikamwambie naitaji mo energy .. akaniambia hii ndo Mpya sasa nainanguvu mara mbili kuliko mo energy ya...
0 Reactions
76 Replies
22K Views
Wakuu habari ya Jumapili, Mimi ni mjasiriamali yaani enterpretenuar Nahitaji kujua mtaa, au eneo zuri la kufungua mgahawa sinza, kulingana na wingi na hadhi ya watu Wanaishi mitaa hiyoo...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Kwa anaye fahamu sehumu ambapo shamba linauzwa kwa Morogoro pawe rahisi kufikika na bei iwe nafuu anijuze 0758022953 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Dstv-Jiunge na Dstv kwa kununua dekoda na dish kwa sh.99,000 na unufaike na ofa ya kifurushi mwezi 1 buree wa kifurushi cha compact,lakini kwa ongezeko la sh.20,000 utaweza kuletewa mpaka nyumbani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
HABARINI ZENU, NATAFUTA TOYOTA WISH USED HAPA TZ IWE KWENYE CONDITION NZURI IS ISIWE NA HISTORIA YA AJALI NA RANGI ISIWE NYEUPE, PIA KM ZIKIWA CHINI YA 100K ITAKUA POA ZAIDI, ISIWE IMERUDIWA RANGI...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Dear Valued Customer, Greetings from Right Click Solutions Tanzania. It's time to increase a security in your Office & Organization in order to protect staff cars, office assents, Customers cars...
0 Reactions
0 Replies
687 Views
  • Closed
Brand: HP Comes with a FREE LAPTOP BACKPACK BAG SPECIFICATION RAM: 4GB Processor: Core i3 Storage: 1000GB/1TB Scree size: 16 inch Fingerprints scanner Wide surround bass Speakers Comes with...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Nyumba ya vyumba 3 self IPO ndani ya fensi umeme na maji vyote vipo,ukubwa wa plot 1500sqm na bei yake 280ml pia maongezi kidogo yapo
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu Hivi blender za juice imara zinazokaa muda bajeti yake isizidi elfu 45 ni za kampuni ipi na zinadumu muda mrefu?
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Napangisha vyumba vya ofisi *(office to let)* Katikati ya mji hapa *Dodoma* karibu na *chef asili* Njoo tukupangishe ufungue ofisi yako *Idodomya kuswanuu* Agweeee 0715170553 Email...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MOST WANTED SAIDIA KUSHARE Kwayeyote anayemfahamu huyu jamaa atoe taarifa kituo chochote cha polisi kilicho karibu naye au apige simu kwenda namba hii 0758555076. Amefanya tukio la wizi na utapeli...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wandugu tumepotelewa na dada huyu, katoka nyumbani (Matejoo kwa Giriki) tangu siku ya Juma tano tarehe 24/04/2019. Tumemtafuta kila mahali bila mafanikio. Tumeambiwa alionekana maeneo ya...
4 Reactions
93 Replies
8K Views
Kichwa kinajieleza vizuri na nimeandika kwa herufi kubwa,Natafuta coaster ya kununua isiwe box body tu Offer Yangu 20 million Bei itaongezeka kutokana na condition ya gari ila offer iliopo ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wajameniii natafuta gari ya bajeti hiyo angalau nitumie miezi michache.... mwenye connection,plz help
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hakuna longo longo Wala utapeli katika hili sawala. Kama unahitaji mbao kutoka njombe saizi yoyote. Naomba tuwasiliane kwa namba 0672-031-066. Kwa walio serious tu.Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
767 Views
Habari wanajanvi,naitaji bampa kama hili la toyota ractis 2006 lenye bodykit
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watu wengi wamekuwa na muamko wa kufuga samaki lakini changamoto kubwa imekuwa mazingira ya kufugia. Sababu ufugaji wa samaki wengi wamekuwa wakijua unahitaji eneo kubwa na Maji mengi sana. Ila...
0 Reactions
18 Replies
12K Views
Back
Top Bottom