Salaam,
1. Beach plot inapatikana kigamboni, maeneo ya changani beach. (upande wa kushoto baada ya kumaliza avec town)
2. Umbali kutoka ferry Ni km 20 mpaka kwenye plot
3. Kiwanja ni cha tatu...
Habari,
Nawauza kuku jogoo aina ya kuroler (47) kwa bei ya 15,000/= nawauza wote kwa pamoja.
Sababu ya kuu ni kupunguza jogoo ili niwe na ratio nzuri ya jogoo na tetea.
Mahali walipo ni Mbeya...
Hello guys nina shida ya haraka na cash.....so nauza tv yangu kutoka UK. Nauza kwa bei poa sana 250k tu.Ina ports za HDMI,VGA,SCART 2,AV.Ni sale ya haraka.....interested party nicheki kwa 0763969066
Teknolojia inazidi kwenda kasi,Sasa unaweza itumia tv yako kama Smartphone yako,kwa kifaa cha Adapter miracast (Anycast) kwa Tsh.40,000/= tu,ni wireless display mpaka kwenye Tv yako kwa umbali wa...
Je, unahangaika kujua njia za kupata mtaji?
Kitabu cha MTAJI ndiyo jibu lako. Pata nakala ebook(pdf) kwa sh.10,000 tu. Wasiliana na 》》+255674502925
Hii OFA ni ya muda mfupi.
Habari zenu wana JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili vya kulala na sebule maeneo ya Arusha mjini. Bajeti haizidi 200,000/= tshs.
.
...
Habari wakuu,
Vifaa nilivyoorodhesha hapo juu vinauzwa. Ni vipya kimatumizi, pasi ina mwezi 1, mtungi una gas, umechemsha maji mara 2 tu, na feni imetumika miezi 2 tu-brand Mr UK. Pasi ni...
Kwanini uhangaike kupiga horn na kusubiri kufunguliwa geti? Kwanini uhangaike kushuka kwenye gari yako ili ufungue geti mwenyewe kisha uingie tena kwenye gari ili ulitoe gari nje, kisha ushuke...
Nimeona matangazo mbalimbli ya kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya nailoni (malboro) kutoka kwa viongozi wa serikali. Huku kukiwa na vifungo, faini au vyote kwa pamoja kwa mtu au taasisi itakayo...
Habari za majukumu!
Nauza salon ya kiume ikiwa na kila kitu chake ndani kama vinavyoonekana katika picha.
Hiyo salon ipo maeneo ya Banana kituoni .
Bei ni 6,000,000/= maongezi yapo.
Ipo kwenye...
Naomba KUJUA AU KUPATA USHAURI MZURI ,NI MACHINE IPI NZURI KWAAJIRI YA KUFANYIA MAUZO YA LUKU,NA HUDUMA ZA VING'AMUZI?
Tafadhari mwenye uelewa tupeane ushauri.
Habarini wakuu ninauza google pixel kwa wanaoifahamu wanajua ni simu kali namna gani
Ram 4 gb
Internal 32 gb
Camera 12 mp inasupport night sight camera, ina portrait mode kali sana kama iphone tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.