Habari wana JF, gari aina ya Raum namba T567DPV inauzwa shillingi millioni 9 na laki nane. Gari ipo Kitunda Dar es salaam.
Gari haijawahi kupata ajari wala haijawahi kurudiwa kupakwa rangi wala...
e-pharmacy ni mfumo wa komputa dukani kwako utakaounganishwa na aplikesheni ya simu yako kupata ripoti ya mauzu ya siku, wiki hata mwezi, ukiwa popote pale.
Utaweza kuhifadhi taarifa za duka lako...
Waungwana mashine ya selcom inauzwa bei ni maelewano na ipi katika hali nzuri. Ina adapter yake pamoja na mkataba wa manunuzi.
Aliye tayari anicheki kwa namba 0719 585236
Habari
Karibuni kwa huduma zangu za printing, natengeneza kadi za sherehe mbalimbali, keki, na kupamba kwenye sherehe mbalimbali, pia kwa huduma za kuprintiwa tshirts, caps, mug, magazine...
habari za leo.
kiwanja kinapatikana buyuni upande ambao kuna kituo cha mafuta cha Sheratoni
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 1,000 ambayo ni 20m upana na 50m urefu.
Eneo bado halijapimwa
Bei ni...
Habari naomba nikusaidie namna ya kujiunga na huduma zetu bora kabisa za maxmalipo ni rahisi sana andaa document copy ya vifuatavyo kwa ajili ya mkataba Leseni ya biashara ,2. TIN no 3...
Habari zenu. wanajamvi,
.
.
.
.Kama kichwa tajwa kinavyojieleza hapo juu fridge ndogo used iliyotumika kwa mwaka mmoja inauzwa kwa bei poa, ufanyaji kaz wake ni bora kupita maelezo...
.
.
BEI ...
Zurich automechs, kwa mahitaji ya kunyoosha body na kupiga rangi kisasa za magari wasiliana nasi kwa 0718858301, tunapatikana Tabata Chang'ombe. Karibu sana bei zetu ni nafuu.
Habari wana jf
ninashida na speaker za aina kama hizi Hata zikipatikana zinazofanana na kama hizi
kubwa zaidi au ndogo
Hata kama nitofauti ila nahitaji zenye kuwa na amprifire moja kwa moja
new or...
EPIC ORGANIC FERTILIZER
Epic Organic Fertilizer is 100% organic soil improver and fertilizer based on nutrients from ecologically clean area of Philippine. Epic Organic Fertilizer is unique...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.