Nitaiuza kwa sh.2,300,000 badala ya 2,600,000 bei ya awali Karibuni tufanye biashara mashine iko vizuri kabisa kama inavyoonekana kwenye picha saizi ya meza ni inch 12. mawasiliano 0713026995 karibu.
Nauza majiko yenye teknolojia ya kisasa kabisa ambayo inajua kubalance matumizi ya KW za Tanesco yahan mpk raha.ndugu wanajf mi mwenyewe ninapozungumza na nyinyi nimeanza kutumia hili jiko tangu...
Wakuu nimekwama nauza kiwanja changu
Kipo Mtaa wa Magaka Kata ya Kahama katika manispaa ya Ilemela
Sifa za kiwanja:-
[emoji117]Kimepimwa
[emoji117]Ukubwa ni hatua 20 kwa 24(Urefu na upana)...
Habari za jioni wadau poleni na majukumu.Mimi naomba kujuzwa maduka yanayouza pamba kali na original.Sitaki nguo mdosho ambazo zimezagaa kila mtu anayo mtaani.Pia nilikuwa naulizia ninapoweza...
Habari guys! Naenda nje ya nchi kupiga mishe huko nauza vitu vyangu vya ndani
*.Kitanda+godoro+net ya kisasa 5*6 nilinunua vyote kwa 435000
*.Dish la dst nilinunua 79000
*.Sofa la watu 3 na la...
Ni matumaini yangu kwamba nyote muwazima wa afya, na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku.
Ningelipenda kuchukua nafasi hii adhimu, kutoa PONGEZI zangu za DHATI kwa Asasi za Kiraia (Civil...
Habari
Nauza kiwanja, ukubwa hatua 28 kwa 20. Kiwanja kipo Kigamboni jirani na daraja ya mwalimu Nyerere Kigamboni.
Bei ni milioni 18.
Usalama wa kiwanja upo kwani documents zote zipo na hatua...
Kwa anayehitaji Kiwanja kipo Goba 20x20, kipo sehemu nzuri tambarale, pia kuna barabara inayopita hapo, bei ni Tsh 6mil tu ,
Kwa atakaye hitaji anicheki 0656077998/0625545496
Sent using Jamii...
Habari,
Nyumba safi ya kisasa kabisa inauzwa Mbagala,Chamazi wilaya ya Temeke,jijini Dar es Salaam.
SIFA ZA NYUMBA HUSIKA;
~Ina jumla ya vyumba 4 na kimoja kati yake kikiwa ni master bedroom...
Nauza jiko kubwa LA chips,karai,jiko mishikaki,kabati unaweza tumia kwaajili ya chips au vitanwa,meza ,viti.vitu vyote vinapatikana gongolamboto kwa diwani.mawasiliano 0656984940
Sent using Jamii...
Kiwanja Kinauzwa kipo saranga
Ukubwa meters 20*20
Miundombinu Barabara mpaka kwenye plot
Umeme nguzo ipo
Kiwanja hakiko level
Bei 6.5m
0657230449 call msg WhatsApp
Sent using Jamii Forums...
Habari za saa hizi wana jamvi.
OmarExpress tech.
Ni watengenezaji wa vitambulisho vya aina zote+business card.
Napokea oda ya kutengeneza vitambulisho popote kutoka pande zote za tanzania. Pia...
Kiwe maili moja kibaha
ukubwa kuanzaia 20*20 zaidi ya ho maelewano
kiwe kimepimwa au kipo kwenye mchakato wa kupimwa
bei tzsh,2,000,000
ambayo italipwa kwa awamu nne au tatu
mawasiliano 0789721326
Kwa wanaohitaji hizi huduma:
Blog ya Kuombea matangazo ya Google Adsense bei 150,000/= (Itakuwa na Post 25 ambazo ni UNIQUE
na Maneno kati ya 500-700, Nitaziandika kwa Siku 7)
Kwa Adsense...
Engen 3rz
Petrol
Cc 2490
Full doc
Ac kama uko mufindi
Bei 14mln
Gari haigongi.....chini,utafikiri imetoka jana Japan
Kama uko interested nayo ni check 0715591141 nku link na mmiliki moja kwa moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.