Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Ps4 fat 500gb used 1controller Power cable FIFA16 Bei ni 650000tsh mawasiliano 0673748445 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
661 Views
Ndugu wanajamii wenzangu habari ya siku nzima? Naombeni ushauri wa flat screen ipi nzuri naweza chukua kwa gharama nafuu ambayo haisumbuwi, ninabajeti ya laki tano(500,000) tu. Natanguliza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini yeyote anaeweza kuniunganisha na vijana wawili wanisafishie eneo langu (site) lililopo mtoni kijichi tafadhali awasiliane na mimi pm. Nawahitaji siku ya j4 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
911 Views
Wanajamvi habari yenu....naombeni msaada..nataka kununua beli LA pochi grade 1 ili niuze rejareja.naomba kufahamu pa kupata hayo mabeli na bei tafadhari
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani nauza mashine ya kuranda na kuchana mbao ni mpya imetumika miezi mitatu tu ninashida zakifamilia ipo Dodoma wilaya ya kongwa kwa aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0713026995. bei ni sh...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu nimeanzisha kilimo cha mipapai. Nilitegemea nitumie mvua za masika ili kupunguza gharama za umwagiliaji, lakini kwa bahati mbaya mvua za mwaka huu si nyingi. Nimepata wazo la kuwa na...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Wadau wa mchezo huo ,naomba kufahamishwa mimi niko mwanza natafuta hiyo bidhaa kama kuna mtu anajua sehemu zinapouzwa na bei yake basi anijuze
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Habari members. Natafuta samsung dealer ambaye yupo dar. Dealer anayeuza simu za samsung, kama upo nakuomba PM tuongee zaidi tujue tunaonanaje tuweze fanya biashara. Asante. Karibu
0 Reactions
0 Replies
540 Views
Wanandugu leo nawaletea mbegu za maboga zilizookwa. Hizi ni mbegu zilizoandaliwa kwa mazingira bora kabisa kuahakikisha kiini kinabaki na afya yake bila kuungua huku ukila mbegu tamu kabisa. Mbegu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau.. Nauza T-Shirt heat press, heavy duty, nzuri kabisa for transfers image and logo on T-Shirts, namba na majina kwenye jezi za michezo.. kuprint leso, vitambaa etc Mpya kabisa...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Mwenye PS4 ambayo ni nzima kabisa naomba aje aniuzie, iwe bei nzuri. Karibuni.
1 Reactions
76 Replies
10K Views
Nauza Computer zangu (zipo 5) Ambazo nilizinunua Mwezi wa 1, 2019 na Kuzitumia kwa Mwezi Mmoja tu Kisha nikaziweka Stoo, Kwasasa Nina Ziuza Zipo 5, Pia ukuacha Computer nauza Viti na Meza ambazo...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wanajamvi habari. Nimefatilia taifa la Israeli kwenye swala la food technology and processing wako vizuri pamoja pamoja na mazingira waliyonayo. Hivyo basi nikiwa namalizia degree yangu ya Food...
0 Reactions
0 Replies
757 Views
CAR FOR SALE MAKE ; Toyota MODEL ; Prado COLOUR ; Silver Cc ; 2690 YEAR ; 1999 NUMBER ; C ENGINE ; 3RZ PISTON ; Four IMPORTED YEAR ; 2013 MODE OF TRANSMISSION ; automatic FUEL USE ...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Gari Toyota Chaser kama inavyoonekana kwenye picha hapo, gari ni nzima kabisa inatembea yaani unaweka mafuta na kuondoka na nyaraka zote zipo njoo na fundi wako unayemwamini ujiridhishe, Bei ni...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kama inavyoonekana kwenye picha bado mpya ilinunuliwa bahati Mbaya . Inauzwa kwa bei ya hasara .Bado ina wino wake original na haijatumika hata kidogo , call or whatsap 0712 916 831 Bei...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
AL-TIMIMY TECHNICIAN Kwa wale wenye Juice Dispenser ambayo haitoi ubaridi unaoridhisha au mbovu na umehangaika nayo sana usisite kututafuta sisi tutaitengeneza na kuifanya iwe na ubaridi wa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nina 150k ni desk top gani ntapata ambayo ni nzuri Nawasilisha Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
690 Views
Habari Wana JF Leo nataka niwaeleze juu ya mbegu hizi ambazo zinatatua matatizo mbali mbali kama vile kupunguza unene pindukia, kutatua matatizo ya presha, kisukari, mmeng'enyo wa chakula...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
hello JF naomba msaada kwa anayejua bei ya boxer mpya pamoja na gharama nyingine zote kama bima nk. ahsanteni..
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom