Habari zenu wana jf
Kwa wale wakazi wa dodoma, napenda kuwatangazia kuwa napika chakula na kusambaza maofisini, site, majumbani au kwenye biashara.
Ukiwa unahitaji chakula na upo maeneo ya mjini...
Nahitaji pikipiki used kwa ajili ya matumizi binafsi.
SPECIFICATION;
-iwe katika muonekano mzuri sana.
-iwe na document zake zote.
-bajeti ni 600000/= tsh.
-morogoro au arusha.
na sehemu nyingine...
Habar ndugu zangu wa JamiiForums
Naomba kuulizia hivi hzi game Za kisasa ambazo Mtu anavaa kichwan VR halafu anapewa controller mikononi kisha aanza kucheza hapa mjin Dar es Salaam zinapatikana...
Nauza nyumba Morogoro Kihonda Veta (Yespa) ina vyumba vinne Kati ya hivyo viwili ni self, sitting room, dinning na stoo, Public toilet, jiko na choo cha nje.
Bado haijafanyiwa finishing. Ukubwa...
Samsung Grand Prime Pro 2018
Yenye Kioo cha SuperAmoled touchscreen
Full boxed
Condition. Brand New
5 Inch Display
Processor 1.4GHz
GPU Snapdragon 425 Soc
8MP Rear Camera + Flash
5MP Front Camera...
TURN NIGHT TO BRIGHT(POLARIZED VISION GLASSES)
Ni miwani mizuri sana kwa madereva wa gari na pikipiki,inasaidia kuona vizuri usiku ukiwa unaendesha ,kwa kupunguza mwanga mkali wa taa za...
Rejea kichwa cha habari hapo juu kiwanja kinauzwa maeneo ya Kisemvule karibia na maeneo ya sokoni, kina ukubwa wa ekari moja, Bei ni Milion 80 kwa mawasiano zaidi napatikana kwa namba:
0765301402...
Anayefahamu bei wa sound Kama h bei aniambie nataka nifungue sound ya Biashara kwenye macherehe Na mahafali mbalimbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Jipatie simu bora aina ya
iPhone 5c
toka
Babuu & Company Ltd
Inayokuja na uwezo wa
•1gb ram
•16gb internal
•available in white,green,yellow,red & blue colour
KUMBUKA
°Simu zote ni mpya/Brand...
Wakuu naomba kufahamishwa maduka ya vifaa vya ulinzi app dar yanapatikana wapi.
Nataka vifaa Kama Mapanga marefu ya kininja,nguo za kikomando na dhana mbali mbali.
Bill kusahau zile tochi kubwa za...
Husika na kichwa cha habari hapo juu, ningependa kufahamu ni mahali gani pale kariakoo nitaweza kupata zile bidhaa za kutengenezea sabuni.
Ahsanteni, na muwe na mchana mwema.
Sent using Jamii...
Laptops zipo kwenye very good condition(almost mpya)
Whatsapp/Call 0719573444
Lenovo Thinkpad T440s
RAM:4GB
HDD:500GB
Processor:Core i5 4th gen with 2.6ghz speed
Graphics:intel HD Graphics 4400...
Watu wote wenye kuitaji ushauri binafsi wa biashara ni pm tufanye biashara kwa garama ndogo. Malipo ufanyika kwa Tigo au mpesa katikati ya ushauri na mwisho wa ushauri. Biashara yeyote natoa...
Habarini wakuu.
Nimekuwa na kampango ka kuanza biashara ya kuprint tshirts, na moja kati ya vitu ninavyovitaka ili niweze kufanikisha biashara hii ni plain tshirts.
Nimejaribu kuangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.