size: 4 by 6 feet
Location: tegeta Mbuyuni - Dsm.
godoro lipo kwenye hali nzuri,
kitanda bado ni imara kabisa.
nipo mbuyuni-tegeta Dar es Salaam.
bei ni shs. 180,000 kwa vyote.
wahi mapema...
Toyota Premio Inauzwa bei chee
Inatembea haina tatizo la kiufundi
Engine yake ni 7a
Body yake imechoka kiasi
Bei ni 2,700,000
Ipo ukonga Dar-es-salaam
Mawasiliano whatsapp au piga 0712222575...
habari ndugu zangu,
naitaji kiwanja maeneo ya pugu, popote pugu nitachukua kwanzia mnadani, mpakani, kajiungeni, kinyamwezi na maeneo jirani.
kwa bei yeyote lakin muuzaji asiwe na tamaa.
muuzaji...
DVB T2 RECEIVER FULL HD
Support over 240 FREE channels
All local channels included
Support WIFI for Youtube
Support USB Multimedia playback
Support PVR
ANGALIA CHANNEL 240 BURE KABISA BILA MALIPO...
Toka niliposikia jamaa wa Tala wameshikwa sina amani kabisa maana wakitoka wanata anza na mimi niliyeshindwa kulipa maana hali ni ngumu nimeshindwa kurejesha labda utokee muujiza server yao...
Salamu wakuu.
Kwa yeyote mwenye ujuzi wa kutengeneza/kuandika software/program ya kuchakata matokeo ya mitihani kwa idadi ya wanafunzi kuanzia 15000 hadi 25000 ninaihitaji. Mahitaji na vitu...
Wadau nauza USB flash 8gb Toshiba kwa affordable prices Tsh 13000/= kwa rejareja na jumla si chini ya Tsh.11000/= kulingana na idadi unayochukua.
Five years warranty pia popote ulipo utafikishiwa..
Za mchana..
Nauza Mbolea ya Kuku, IPO kwa wingi Sana, napatikana Kigamboni Kwa Mwingira Mjimwema..
Kwa mawasiliano Tafadhari wasiliana nami kupitia 0786 647564 au 0674 050550..
Karibuni
Sent...
MWALIKO WA HARAMBEE UJENZI WA MADARASA SHULE ZA SEKONDARI TARAFA YA SUBA JUMAPILI TAR. 07.04.2019 SAA 8:00 MCHANA UKUMBI MKUBWA WA KARIMJEE DSM.
UMOJA WA MAENDELEO WA WANANCHI KUTOKA TARAFA YA...
Wanajamii nawasalimu.
Ninayo magari ya kukodi kwaajili ya mashule gari zetu zina kiyoyozi yani (Ac),gari zipo hapa Dar, garama za kukodi kwa siku moja ni sh.130000 mafuta naweka mimi pamoja na...
Pata mihogo safi kutoka mkuranga, njoo mteja serious tukuuzie mihogo mibichi iliyotayari kwa kuliwa. Mihogo ipo eneo la ekari 8 hadi 10 ni wewe kuja pm tuelewane tu.
Offer: mteja wa kwanza atapa...
Habarini jf member naombeni mwenye uelewa kuhusu sehemu wanazohusika na mambo ya ufundi bomba anipe muongozo
Mimi ni mwanafunzi wa bomba kutoka katika chuo ( ..... )
Ila isiwe dawasa pia kuwe...
Hodi hodi wapendwa,
Kuna ndugu yangu anatafuta mashine ya kutengeneza ice block, sasa amenipigia hata sina abc za hiyo kitu, in short nimeshindwa kumjibu.
Sasa najua JF limesheni wajuzi wa mambo...
MWANZA:-
Buhongwa, Nyashishi, Bulale,Sawe, Mweasi. Yapo baadhi ya maeneo yalishajengwa misingi ya Nyumba ukilizika na ramani unanyanyua Boma tu
NB:
KUONA N BURE KABISA
KWA MTU MWENYE USAFIRI...
Kwa mahitaji ya viwanja vilivyopimwa kwa maeneo ya jiji la mwanza tuwasiliane au kwa mwenye shamba lake ambae alikuwa anahitaji huduma ya kupimiwa eneo lake nae tuwasiliane kwa namba hapo chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.