Penda lishe Bora ni unga lishe unaotumiaka kupigikia uji Watoto,wajawazito,Wanyonyeshao,Wanamichezo na watu wa rika zote Kama kifungua kinywa.
Faida za kutumia Penda lishe borae
*Huimalisha mifupa...
Vita ni ADUI wa kila jambo zuri kwa binadamu.
Tujumuike kwa pamoja katika matembezi kwa ajili ya kuwapa nguvu wenzetu walioathirika na VITA nchini yemen na wajihisi wapo wanaowajali na kuwakumbuka...
Ni miaka 35 imepita tangu Kiongozi imara, jasiri, shupavu Edward Moringe Sokoine afariki Dunia kutokana na ajali mbaya ya gari.
Hakuna asiyejua uimara, uzalendo na uchapakazi wake Edward Sokoine...
Amani kwenu
Natafuta supplier wa simple school management software yenye user friendly manus kwa bei poa sana.
Sitaki dalali
Mwenye nayo anitext whatup
0755556600
Sent using Jamii Forums...
NATAFUTA ili ninunue Shamba/Kiwanja heka 2 au 3. Pasiwe mbali na mjini Dar as salaam. Hapo nataka nifanye kilimo flani cha kisasa.
Sehemu ambayo ntapapima mwenyewe nipate hati ya ardhi.
Hivyo...
Ofa maalum kwa wenye shule za nursery, primary, tuisheni centers temeke, yombo na Buza!
Dar es Salaam, Tanzania
Ofa maalum kwa wenye shule za nursery, primary,
tuisheni centers temeke, yombo na...
64Door Tanzania Limited inatoa huduma sanifu, kutengeneza, kusambaza na kufunga milango pamoja na viambatanishi vyake kama urembo na vitasa, vyote sehemu moja na kwa urahisi zaidi. Kiwanda cha...
JAMAN KUNA KIWANJA KINAUZWA
UKUBWA
65*40 METER SQUARE
ENEO -KIVULE CCM,DAR ES SALAAM
KIMEPIMWA
BEI 27,000,000/=
MAWASILIANO
+255625604031
MWENYE KUHITAJI TUWASILIANAE BEI INAWEZA...
Nauza vifaa vya kufanyia biashara ya chips.
Kabati square meter 1
Meza 2 za kucomelea na 1 ya mable
Jiko kubwa la Gas na mtungi wa gas wa kilo 15
High pressure regulator
Makarai 2 ya chips
Nauza...
hellow there karibu kwenye offer ya christmass
nadesign website for free kwa mashule,ngo,kampuni na wafanyibiashara etc
great experise in php,mysql,css,html
expect to get high quality website...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu, kimfaacho mtu chake,. Shamba lina ukubwa wa eka 25, lipo mkuranga kilometer 10 kutoka barabara kuu ya Dar - Lindi. shamba bado virgin na mazao yaotao...
Karibuni jaman mjipatie Boxer zakiume 100% cotton jumla na rejareja, vest zakike na zakiume, mashart, jeans na cardet. Kwa wamkoa tunatuma kwa uaminifu kabisa dar unaletewa popote ulipo
Jeans zipo...
Ofa Ofa Ofa Vifaranga wa #broiler #kukuwanyama| Bei 1,400 | vinaingia Dar leo usiku asubuhi unapata.
Lipa upewe mzigo wako.
Wa mikoni mnatumiwa gharama ya usafiri ni juu ya mteja
Njia ya Mosh...
Habari za wakati huu, gari unayoiona hapa aina ya Suzuki Swift , uwezo wa engine cc1300, hipo katika hali njema sana. Kila kitu chake nj chema. Bei ni 5,500,000/= njoo nikuuzie gari. Kwa lolote...
Nauza mchele wa grade kwa kilo sh 1700/ ninao mwingi sana hata tone zaidi ya hamsini utapata.ukichukua mwingi punguzo lipo nipo Dar kwa mawasiliano 0718219523
Nauza king'amuzi changu na vifaa vyake vyote,,cjui antenna,remote,nyaya,,ukinunua ukifka kwako na kuangalia,,INA channel 7 bure za bongo,,Elf 50 tu
0762693368
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.