habari wadau,
mimi ninamiliki dikoda ya startimes (antena) inayoshika local zote bila malipo kama TBC1, ITV, STAR TV ,CLOUDS TV, ETV, EATV,CHANNEL 10, DIRA TV, SAFARI TV, UPENDO NA LIVING WATER...
Habari wana jf, karibuni mjipatie flat tv aina ya starx- led inch 32 kwa bei ya shilingi laki 400,000. Mikoani tunatuma, dar es salaam tunakuletea ulipo AU NJO OFISINI KWETU KARIAKOO MTAA WA AGREY...
Mimi mkulima nina trekta niko wilaya ya Kilombero kijiji cha Miwangani , mshirika atatoa pesa ya kukodi shamba tuanze na ekari 10 wakati wa Kiangazi sehemu za mabonde kuna maji yanaivisha mpunga...
Nauza Softwears hizi zikiwa full version na kufanya kazi kwa kila controller kwa 100% Kwa MAC/WINDOWS pia unaweza kurecord mixing zako MP4 HD 1080(Full HD) pia unapata na skin 3D Kama...
Chumba Sebule na Choo ndani.
Tiles, gypsum, Maji ya dawasco, ndani ya fensi & Umeme Luku.
Tshs 150,000/Mwezi, Miezi 6 inatakiwa.
0675107182
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu
•natafuta HP360 ambayo ni used(new) in a good condition..
BEI:iwe affordable
MAHALI : DSM
Aliye serious njoo inbox tuyajenge..nashukuru
Sent from my iPhone using JamiiForums
Shamba Heka 50 Linauzwa Kibiti Bei Chee (TZS 70,000/Heka).
Shamba linauzwa Kibiti heka 50,
Halijawahi kulimwa hivyo ni la kusafisha,
Heka 10 urefu X heka 5 upana,
Liko kilometa 20 kutoka kibiti...
Kuna magonjwa ya hernia ya aina nyingi kama zile ziitwazo kitaalamu inguinal, umbilical, femoral, epigastric, incisional, inguinal hernia na diaphragmatic hernia.
Lakini watu wengi hukumbwa...
Habar,
Je wapi naweza kupata simu za zaman zamani kama Nokia 6300, Exp 3300 nk,
Blackberry na Motorola za miaka ya 2000's.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu hapa mjini mafudi wa Ac za magari ni wababaishaji,ukipeleka hakatai ila anajaza gas basi kesho yake tatizo linajirudia.
Naomba kujua nani BINGWA wa AC za magari hapa jijini Dar hata kama...
Ndugu zangu nnaeneo langu mkuranga lenye ukubwa tofauti kuna la ekari 2,4,6 ekari hzo zipo mkuranga hila maeneo tofauti mashamba yote yana documents za kijiji nauza ekari 1@1.5ml Hali yangu...
Ndugu zangu hali sio nzuri kwangu kiuchumi sababu nna maeneo nilinunua kipindi mambo sio mabaya nimeamua kuuza baadhi hili kurekebisha baadhi ya matatizo,nna ekari 2,4,6 yote yapo mkuranga nauza...
*LONG LIFE NATURAL FOOD*
-Watengenezaji wa vyakula vya Asili inayotengeneza;
*UJI RISHE*
-Ambao unga huu una mchanganyiko wa -:
-Ulezi
-Soya
-Ngano isiyokobolewa
-Karanga
-Mbegu za maboga.
-Ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.