Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wadau nina shamba langu maeneo ya kichangani naliuza kwa Tsh 3m kwa heka.Kuna heka 10.Karibuni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafut kioo cha galaxy j3 2016 used.. sitaki kipya cha bei chee yani.. nicheki 0657427793. Nipo Dar
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Nauza Gari, Suzuki wagon. Bei in milioni tatu tu. Nipigie 0713242241 Karibuni sana Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba msaada wapi naweza kupata vanilla iliokuwa tayari kwa matumizi ila kwa bei ya jumla na ningependa pia kujua na bei zake
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna sehem ambayo wanatoa mikopo ambayo haina masharti na vigezo sana. Labda waombe tu kitambulisho na taarifa zangu. Yaani kama mtu anataka kuanzisha biashara? Nahitaji 1Mil. Sent using Jamii...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ipo makao makuu ya wilaya ya mvomero barabara ya Morogoro -dodoma kama mita 800 hivi toka makao makuu ya wilaya na hospital ya wilaya Pia iko jiran kabisa na lilipo eneo la stand ya wilaya na...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu natafuta line ya airtel money iliyo kazini na ww ndo uwe mmiliki kama hauifanyii biashara kwa sasa na naomba iwe na document zote halali za umiliki wake...
1 Reactions
2 Replies
730 Views
Tafadhali wakuu, Naomba mwenye softcopy ya kitabu cha The last Plague, kilichoandikwa na Meja Mwangu.Unisaidie Tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Kiwanja kina ukubwa wa 22×20 kipo Kibamba Hospital mtaa wa Mloganzila(Mji Mpya).Bei yake ni 5.5M.Maji ya Dawasco yapo karibu na yanatoka 24/7 na umeme ni wa kuvuta kwenye nguzo, pia kuna umbali wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza Maziwa fresh 1900 kwa Lita. Delivery service ni bure ukichukua kuanzia Lita 5 Kuanzia Lita 4 kushuka chini usafiri utalipia wewe nakuletea popote pale ndani ya dar. Napokea oda za...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nataka kujua gharama za mafuta na sabuni za grace zoazoa. Nawasilisha
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Bei 430000, Haina tatizo lolote 0622544644 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
969 Views
Kiwanja kipo morogoro eneo la Lukobe kina ukubwa wa 979 mita za mraba. Na kimepimwa. Kiwanja namba 166 block 8 kinafaa kwa makazi au Biashara bei ni m 6 tu hakuna maongezi 0652260304
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Iko fresh, 2 ports of HDMI,. 2 ports of USB,.wall bracket Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
916 Views
DRIP IRRIGATION SYSTEM &GREENHOUSE (KWA GHARAMA NDOGO ) Hii ni njia ya kumwagilia mmea kwa kutumia tone(matone) la maji kwa muda husika, ambapo bomba dogo huundwa kwa kuwekewa matundu madogo...
2 Reactions
5 Replies
36K Views
Habari wana jf, Sisi ni Tawa water proffesional ni mabingwa wa kuchimba visima ndani na nje ya Dar es salaam tena kwa bei rahisi sana.Tupo Dar es salaam ila tunaweza pia kufanya kazi hata nje ya...
1 Reactions
30 Replies
9K Views
We edit English academic manuscripts/dissertations/Documents (Certificate, Diploma, Bachelor, Masters, PhD) for students. Simply call to request our services. Send us a softcopy of your document...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za usiku huu wa jf,polen na majukum yenu niende moja kwa moja kwenye mada, ni sehemu ipi ambapo wanauza pikipiki kwa bei nafuu Mwanza??? Duka au chocho lipi??? Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
1 Replies
841 Views
Ukubwa: 20 X 20 (400sqm) Bei: 3,200,000 unaweza ongeza ukubwa kwa kununua kiwanja zaidi ya kimoja 0764118083
1 Reactions
1 Replies
3K Views
NIPPLE DRINKER SYSTEM inatumika kwa ajili ya kunyweshea kuku maji kwa usafi na ubora wa hali ya juu. (Vifaa vya kisaaa ambavyo hutumika kuwapa kuku maji ya kunywa) FAIDA ZA NIPPLE DRINKER:- 1)...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Back
Top Bottom