Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Yalin global limited inapenda kkukaribisha kunufaika na flat screen TV HD kwa Bei ya 260000 .Tunapatikana tabata matumbi dar es salaam,kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba 0672087564 au...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Karibu weka order....delivery free week nzima. @nguruwe_biashara Contacts: 0672879278-whatsapp 0753568353 0762397421
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wakuu nilikuwa natafuta gari kati ya hizi zifuatazo ist, passo, sienta, porte au aina nyengine yenye engine ndogo isiyozidi cc1400> hesabu ni kwa wiki. napatikana tabata nicheki kupitia no...
0 Reactions
2 Replies
700 Views
Habari wakuu nilikuwa natafuta gari kati ya hizi zifuatazo ist, passo, sienta, porte au aina nyengine yenye engine ndogo isiyozidi cc1400> hesabu ni kwa wiki. napatikana tabata nicheki kupitia no...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kampuni yangu inajihusisha na solutions za kuimprove safe and transparent fuel utilization. Systems tuna-install kwenye mobile na stationary tanks. Hivyo wamiliki wa heavy vehicles...
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Kwa majina naitwa Kennedy Charles ni mtaalam wa wanyama hasa kuku,napenda kuwa taarifu wafugaji wa kuku wakubwa na wadogo kwamba uzalishaji utokanao na kuku unazingatia jinsi ya banda lako ulivyo...
2 Reactions
49 Replies
16K Views
Habari great thinkers, ningependa kujua kwa hapa Tanzania wanapouzwa samaki aina ya salmon Lakini pia ningependa kujua wapi wanauza mafuta ya samaki aina ya salmon Natanguliza shukrani Sent...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Sold sold
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Kuna samsung note 5 na iphone 6+ zinauzwa bei Iphone 6+ laki tano na hamsini. Samsung note 5 laki tatu na hamsini Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Aweanaishi Arusha mjin atafanya kazi chin ya kampuni na atalipwa kwa week Uwe chini ya miaka 33 Wadada wataendesha mjin leseni ikiwa ya biashara itapendeza zaid ila kikubwa uwezo kwenye driving...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za leo. Ninauza kuku wa Mayai ambao wanataga. Nataka kusafiri nimeona niwatoe maana sina usimamizi mzuri. Wanafaa kwa nyama hotelini pia.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kilivyo,tulisoma kwenye vyombo vya habari kuhusu usafiri mpya taxi ya little,lakini ukienda play store,unakuta ipo App ya little,lakini ukiidownload inakuja namba za Kenya...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Kitabu kuhusu taaluma ya Uafisa Usalama wa Taifa (USHUSHUSHU) kinapatikana katika maduka mbalimbali ya vitabu nchini Tanzania.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kwa alie interested anicheki kwa PM. Cheki video hizi chini
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Habarini nfugu zangu wana JF.Naomba sapoti yako ikiwa ni mdau mhimu sana katika jamvi hili. Ni kitambo saaa nimetumia kufikilia kuhusu zao hili LA miti ya kupandwa ( paini na mlingoti)...
1 Reactions
0 Replies
989 Views
Kutokana na shida zangu binafsi nimeamua kuuza kituo cha mafuta maeneo ya Mlandizi,eneo lina hati kabisa. Mijengo iliyopo ni ya kumalizia na pampu za mafuta ziko stoo ukizihitaji tutaongea...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tunahusika na uzalishaji, ufugaji, ufundishaji na uuzaji wa mbwa waliosajiliwa na wenye viwango vya juu kwa ajili ya ulinzi binafsi, majumbani na maeneo mengine. Tunafundisha na kumfanya mbwa kuwa...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
wakuu naomba msaada wenu niweze kupata chumba kimoja cha kupanga kwa maeneo ya pugu, kajiungeni mpaka kufika maeneo kigogo fresh iko chumba kiwe na sifa zifuatazo 1. gypsum na ukuta uliopigwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Je' unahitaji kununua gari kutoka nje? Sisi IPILIMO BUSINESS SOLUTIONS, ofisi yetu Kimara mwisho..dsm. Tutakuagizia gari yako hadi kukukabidhi mkononi mwako. Uaminifu na Uwazi katika mchakato...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Back
Top Bottom