Ipo mbagala (majimatitu)
~Ina vyumba vinne(4) na kimoja(1) ni master bedroom.
~Jiko+store
~Sitting room
~Dinning
~Tiles nyumba nzima
~Alminium windows nyumba nzima
~Kisima cha maji+umeme
~Fensi...
Natafuta sehemu wanayouza mashine za kutotolesha mayai mbeya mjini ziwe ni automatic incubator mayai 48-360
Umeme kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Suluhisho la ujenzi linapatikana hapa, jenga kwa bei nafuu kabisa, mzigo unaletewa hadi site kwa bei ileile kwa wateja waliopo Dsm na Pwani. Mikoa mingine tunasupply in bulk.
Karibu ujenge kwa...
Dawa za Chooni zenye kuua wadudu na Kung'arisha Choo na zina Harufu Nzuri sana kwa Gharama nafuu ya Tsh 8,000/=
Tunakuletea mpaka Nyumbani.Tsh 8,000
#UsichukuliePoaNyumbaNiChoo
Tupigie...
Hii ni update kutoka
"Nilivyowekeza Laki Moja Hadi Kuanza Kutengeneza Milioni Moja Kila Siku 3"
PDF hii ina cover topic zifuatazo
CHAPTER 1 : Kupata kadi na account za kufanya manunuzi...
Kwa anayetaka ofa ya punguzo bei la bei ya kuagiza gari, hapa ndo mahala pake, ukiweza mwambie na mwenzio, usiwe mchoyo tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mahitaji ya Asali safi yenye ubora unaohakikiwa mbele ya mteja inapatikana. Tunauza kwa jumla, ndoo ya kilo 30(Lita 20) Tsh. 120, 000/=, kwa anayehitaji ani pm. Tunakuhakikishia ubora...
Ndugu zangu nakuja dodoma kwa kipindi cha miezi 3. Nahitaji chumba angalau nipunguze gharama za maisha.
Budget yangu ni laki moja (100k) kwa mwez.
Sifa za chumba nachohitaji
- Choo cha ndani...
dark underarms or between your thighs due to fiction or bikini area due to shaving? Buy a milk and salt scrub and fade it away for TSH 25,000/= +254718205530,kwa wahitaji wa tanzania unaweza kuniPM
Ni BMW 318i, inauzwa for Tshs 6.5 mil.. Inahitaji servicing ndogo tu.
Gari ipo Dar-es-salaam,sinza.
Imetembea km 82000,
Mwenye kuhitaji kuiona na tufanye biashara call me at;
0712198128...(...
Habari waungwa. Niko Dar naitaj fridge yakaida tu Kwa matumiz madogo madogo ya nyumbn naombeni ushirikiano wenu kufanikisha itaji lang
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari aina ya Mecedez benz C180 yenye namba D inauzwa bei 19 million
DETAILS
Make: Mercedes Benzi
Model : C180
Engine size : 1796 CC
Transmission : Automatic
Year of Manufacture : 2004
Colour ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.