Mercedes Benz E200, 1995 Model, Blue in Colour. Imported in 2004, in good running condition. 120,000km on the road. TZS 8m. Sold by the owner. Ni pm kama uko serious. Dalali hatakiwi.
Hapa kuna Uzi wa garage inajitangaza kupamba gari yako kwa kuweka vitu mbali mbali,kama sikosei inajiita Sound. Nimetafuta Uzi wao umekosa naomba wanitafute nawahitaji kama wapo
Sent using Jamii...
Habarini wadau,naomba mwenye info kuhusu soko la maziwa ya mbuzi,ninataka kufuga na nimeona nifanye research ya soko kwanza.nataka kufugia mlandizi,pwani.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii...
Rejea somo tajwa.
Naomba kujua dawa ya muwasho wa ndevu baada ya kuzinyoa pia kichwa kwa sie wapiga dongo kitambo maana huwa KERO nikinyoa ndevu/kichwani pia wapi nitapata smoother na Bei zipoje...
Wadau habarini za hasubui, kwa aliyeko Dar natafuta Compressor machine ( kwa ajili ya drilling). Sema kwasababu ya Mtaji mdogo sitoweza kwenda kununua za Madukani kwahiyo naomba anayeweza pata...
BIA KUUZWA NUSU BEI KWA MASAA SITA KAMA TAIFA STARS ITASHINDA NA KUINGIA KWENYE MICHUANO YA MATAIFA YA AFRIKA SIKU YA JUMAPILI.
Leo Jioni,17:13pm
Goli la Mluguru Peter Tino ndilo limebaki kwenye...
Wapendwa,
Kwa wanaohitaji INCUBATORS ZA CAPACITY TOFAUTI KWA BEI YA KIWANDANI KABISA!
Mimi unanilipa COMMISSION FEE TU YA $100
Ninakufungia machine zako za kisasa kabisa!!
Hii offer inaisha 31st...
Kwa wale wanaoingia katika kilimo cha mboga na matunda ni vizuri ukapata ushauri kabla hujaingia ili kulima kifaida hata kama ni bustani maarifa ndio msingi Wa kupata faida kwako
Kwa yeyote...
Ofisi ipo karibu na iliyokuwa Vatican City Hotel, (opposite Mawela Bar).
Ofisi imetenganishwa na reception area kwa aluminium framed glass.
Kwa mawasiliano piga 0753740245.
Karibuni sana.
Sent...
Nauza kiwanja changu mbezi msakuzi. Nguzo ya umeme iko hapohapo site .ukubwa 20m kwa 21m. Kiwanja kiko sehemu nzuri sana na pia pamejengeka sana. Hatua za awali za upimaji shirikishi...
16Gb 4g LTE 2Gb RAM
Ipo kwenye good condition bei ni Tshs.400,000
Mawasiliano
0752325910 Simu ya kawaida.
0742228475 Whatsapp
Location Arusha Tengeru
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wale wa penzi wa oldies pata nokia e72 original but refurbished, ni imported haijatumika bongo na vifaa vyajke vyote including user manual, charger, ear phones, usb cable etc.
Kama unaipenda...
Nina bata 30 mchanganyiko wa madume na majike lakini majike ni mengi zaidi.
Nawauza wote na Banda lake kama ukihitaji
Madume: 25000 kila moja
Majike;20000 kila moja
Yapo pia majike na vifaranga...
nyumba inauzwa mbezi beach goigi
bei 150 fixed price.
ina vyumba vitatu,sebule,dining,public toilet,kitchen pamoja na chumba kimoja upande wa nje ambacho ni self
ina hati miliki safi pia haina...
Habar zenu wakuu,
Aisee nashida ya kufahamu kuhusu hil la upatikanaj wa nguo za mtumba kwa maana yale mabaro,(marobota) yanuzwa sehem gan jijin hpo, na bei gan kwa kila baro hasa kwa jeanz za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.