Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kiwanja Hiki kimepimwa, mawe yasha wekwa, Hati ndio zinatolewa mwezi Aprili,kwasasa kuna hati za mauziano ya Serikali zamitaa na mkataba wa kisheria wa mauziano. Kina ukubwa wa 520sqm(Angalia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji kiwanja mkoa wambeya maeneo ya Uyole, kiwe na hati miliki, na kiwe kikubwa pia.huduma zote za kijamii ziwe zinapatika, Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Habari zenu wapendwa....je mmesikia kuwa kituo chetu ..Eternal international kuwa kinaendelea kutoa huduma ya check up ya mwili mzima kwa mashine za kisasa pamoja na madaktari bingwa kutoka nchini...
0 Reactions
2 Replies
867 Views
Wadau, pengine hili jukwaa sio mahala pake ila naomba ushauri juu ya hasa uimara wa engine na technical faults zozote kama zipo kwa gari aina hiyo. Sina uzoefu sana na Subaru. Ni hatchback, haina...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Natafuta VIFAA VYA kuokea cake na mikate, material ya bati mwenye navyo au unamfahamu MTU anayetengeneza Kwa bei nzuri. Ukitoa number na location kwa Dar nitashukuru sana
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za kutwa wana forum. Kwa yeyote anayefahamu kampuni/duka linaloruhusu mkopo wa samani za nyumbani kwa watumishi wa umma naomba anifahamishe. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina jokofu aina ya bird line....mwanzo lilikuwa linapiga kazi fresh.. Nikaita fundi wa kwanza akasema tatizo ni power control na gesi imepungua, tukarekebsha ikafanya kazi fresh Siku 3 tu...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nauza hp monitor inch 17, iko kwenye hali ya ubora wake. Niko dar es salaam. Mawasiliano 0719049292
0 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Closed
Toyota starlet iko kwenye hali nzuri sana na inaendeshwa na mdada sababu ya kuuza:anatafuta kodi ameagiza gari ingine BEI: ishauzwa 4m Make: Toyota starlet Model: EP91 Mileage: 132,000 km Engine...
0 Reactions
73 Replies
9K Views
Natafuta ist Ya silver iliopata ajali, Iwe inatengenezeka Kama unayo Au unajua mtu anayo anauza Au uliona sehemu inauzwa Basi nitonye kwa number 0759117175 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
547 Views
ABOUT US The Hybrid project management consultancy (HPMC) is a down to earth, pragmatic consulting firm who believe in bringing traditional rural values to city business. We do what we do well...
1 Reactions
2 Replies
697 Views
Eneo lipo kizota Makongo juu DSM. Ukubwa ni square meter 20*15, linafikika kwa urahisi sana, eneo halijapimwa . Price ni 25 million tshs .. BEI HAIPUNGUI Serious buyers ONLY contact...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
USIIKOSE HII...HONDA FIT..TSH 7.6M ******************************************* BEI YA LEO NA KESHO....TSH 7.6M MPAKA MKONONI MWAKO, WASILIANA NASI TUKUAGIZIE HII, WALA HUTOJUTIA PESA YAKO. LIPA...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Mtu anaeweza aniagizie plz.
0 Reactions
1 Replies
687 Views
Kiwanja kinauzwa kipo makongo ya juu. ukubwa ni 23m (urefu) kwa 22.5m(upana). Kipo barabarani, maji na umeme vilishafika toka 2004. Ni low density area.Ni 18 -20 mins driving from Mwenge. Piga...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Simu ipo kwenye hali nzuri, fingerprint inafanya kazi, minor scratches (crack zinazoonekana ni za screen protector pia unaweza kuikagua kujiridhisha) Bei ni 250,000 Maongezi yapo kwa wale wapenda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
As per above title wajameni natafuta manualy typewriter plse aliyenazo aje tuyajenge
0 Reactions
1 Replies
525 Views
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sikiliza music na fanya mawasiliano unapokuwa unafanya mazoezi Bila kusimamisha mazoezi ni rahisi tumia phone arm band kifaa kinachokusaidia kuweka simu yako unapofanya mazoezi kinapatikana kwa...
0 Reactions
5 Replies
877 Views
Naomba mwenye kujua wapi wanauza mbegu za matango zinaitwa yetu f1 anisaidie tafadhali, hizo mbegu ni hybrid. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom