Habari.
Kama una mashine ndogo ya kutengeneza juice ya miwa, unaweza usiishie tu katika juice ya miwa bali pia unaweza itumia kutengenezea sukari. Demand ya sukari ni kubwa sana na viwanda...
Inamuonekano mzuri
Haina tatizo lolote
Warranty miezi 6
Simu nzima sana
Bei yake ni 460,000/=
0625 50 43 16
0712 58 31 57
0689 55 44 38 whatsapp
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini mpo wazima,pole kwa waleo wagonjwa na wasio jiskia poa
"Natafuta Movies kwamiliki wa Bongo movies #businesspurpose
Je wewe ni producer au tu mmiliki wa filamu yani una miliki wa filamu...
[emoji3479]PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (PID)
Ni ugonjwa unao shambulia mfumo wa uzazi kwa mwanamke nimojawapo ya ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya kujamiiana.
[emoji3479]HUATHIRI SEHEMU ZIPI...
Habari wajasiliamali wenzangu mimi nashida nauliza ni wapi nitapata soko la mafuta ya alizeti safii from Dodoma maana huku wanunuzi wachache..... Nauza kidumu cha litre tano 18000 elfu...
Gogo agents
House for sale
Location:
Oysterbay, dar es salaam.
Description:
Sqm 2500, four bedrooms two are master bedrooms, sitting room, dinning, kitchen, public toilet parking, electricity...
Godoro ni zuri sana zaidi ya linavoonekana kwenye picha japo halina cover
Bei 45000 tu, nipo Dar es salaam kama unahitaji nitafute namb hii >> 0766166483
Kiwanja changu kipo Tabora mjini maeneo ya Cheyo, ni karibu kabisa na mjini center.. Kwa sasa nipo Dodoma mjini..natafuta mtu ambaye anakiwanja Dodoma tubalishane..Kiwanja ukubwa wake ni miguu 28...
Salamu wandugu!
Nauza mayai ya Sasso (Kuku chotara) trei 12,000/= , yanafaa kwa kutotolesha na pia kwa kula. Napatikana Morogoro mjini, Kihonda maghorofani!! Karibuni niwahudumie, popote...
Habari wadau,
Kwa wakazi wa Gongo la mboto na viunga vyake, wanaofanya kazi Posta, kutokana na usafiri wa umma kuwa na changamoto sana. Nahitaji watu wanne (4) ambao wanafanya kazi Posta niwe...
Right Click Solutions Tanzania
IT Support, CCTV Camera, Android Applications Development, Networking, Computer Sales, Laptop Repair, Alarm system & Website Design
Mwanza - Lake Zone Office:
NBC...
KC GLOBAL LINKS LTD
YOUR NUMBER ONE SOLUTION FOR SHIPPING AND ALL PURCHASES FROM THE UK
WE SHIP ALL TYPES OF CARGO FROM UK TO AFRICA AT UNBEATABLE RATES
40’ CONTAINER TO DAR/MOMBASA FROM £1,450...
Unique York Investment.
Kutoka Unique York Inv. Inawatangazia bidhaa yake mpya ya Jiko la kupikia la kisasa linaloweza kuokoa matumizi makubwa ya mkaa katika matumizi.
Jiko hili kwa jina la...
Nyumba zipo Kinyerezi kwa makofia umbali wa mita 200 toka barabara ya lami. Zipo ndani ya uzio mmoja na kila nyumba ina sebule na vyumba viwili. Chumba kimoja ni master bedroom na kuna public...
Poleni na kazi wakuu ;
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza yeye anayeweza fanikisha aje inbox
Note;iwe ya size yeyote
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.