mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili IFM,, kutokana na changamoto za kupanga nikajiweka nikanunua kiwanja chanika na baadae kidg nikaanza ujenzi sehem iliyobakia ina bajeti ya wastani wa 2m hivyo...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nina kiwanja cha square kilometer 400, nimeshazungusha ukuta upande mmoja bado pande tatu ni kama tofali elfu 2 kasoro hivi za nchi 5 na 6 jumla.
Nipeni...
Kwa anayehitaji kiwanja kizuri sana. *Prime area* Nyuma ya barabara kubwa ya Mtaa, huitaji hata nguzo ya umeme.
Maji ya Dawasa yako Mita 12.
*NB: kituo cha basi ni Bunju-Mingoi, Njia ya kuelekea...
Wana jukwaa.
Kuna project ambayo naifanya Bunju, ndani ya mwezi mmoja itakuwa imekamilika.
Natafuta Nyumba ambayo nitalipia kwa muda huo pekee,
Asanteni Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Dagaa Safi wa chakula cha kuku wanapatikana kwa bei nafuu.. Dagaa hawa hawaja katika katika kama wanavyoonekana kwenye picha zipo kg100 kwasasa ukitaka zaidi utakusanyiwa pia..nichek kwa namba...
Habari rafiki?
Ninayo furaha kubwa kukujulisha ya kwamba, kitabu kipya IJUE BIASHARA YA MTANDAO
(NETWORK MARKETING) kipi tayari. Hichi ni kitabu kizuri ambacho kitakupa uelewa halisi wa...
Habari wana jf, karibuni mjipatie makabati ya nguo milango 3 kwa bei ya elfu 70,000 pia jipatie net za kisasa kwa bei ya elfu 45,000 MIKOANI TUNATUMA KWA DAR ES SALAAM TUNAKULETEA ULIPO...
Wakuu kama kichwa cha habar kinavyosema nina tv singsung flat nchi 25,lkn for now nataka kuwa na tv kubwa ya nchi 43/40 je naweza kubadilishana na hii niliyonayo kisha nikaongeza pesa kidogo...
Jamani wadau humu ndani naombeni mnaojua mnisadie nina tv sony flat screen nch 40 tokea juz nimeona mabadiliko inaonyesha picha mbil mbili mfano neno itv linaonekana mara 2 kwenye creen,yaan...
Habari wapendwa,
Nauza gari yangu (mimi ni owner), Rav 4 J.. Imetembea KM 200,000, Year of manufacture 2000, engine capacity 1998, haijawahi kupata ajali, wala kupakwa rangi,.. Location- Dar...
Wasalaam
Ninauza maharage gunia 10 zinaweza kuongezeka kama kuna uhitaji mkubwa.
Location
Yapo Laela(Rukwa) ni umbali wa 90s Km kutoka Tunduma kuelekea Sumbawanga.
Barabara ni lami mpaka yalipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.