Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Let clarify some issues here: Kuna project nafanya hapa Dar es Salaam kwenye kampuni ya energy, natengeneza consumers monitoring system inayowezesha consumers kucheki energy consumption kupitia...
3 Reactions
5 Replies
36K Views
Habari wakuu, natafuta thermometer kwa ajili ya kupima temperature and humidity (unyevunyevu). Hata Kam ni used mtu anacho kifaa hiki , naomba anichek PM! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hefsiba Technologies Co. Ltd ni kampuni iliyo bobea katika utoaji wa mafunzo na ushauri kwenye nyanja za Engineering, Architecture na Entertainments Software. Tutaendesha kozi zifuatazo; 1...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana jf, poleni na majukumu.. Nina eneo langu mwasonga, kigamboni lina ukubwa wa ekari 1.5 nimejenga nyumba ya vyumba viwili pamoja na mabanda ya kufugia.hapo awali nilikua nalitumia kwa...
0 Reactions
6 Replies
968 Views
Je ? Unahitaji simu !? >Samsang J7 >white in colour >Gb 16 >camera Bomba kabsa >front $rear camera >haina tatizo kama unavyoiona >BEI TSH 150000/= AU DOLLAR €70 Call ♧whatsap no.0763865047...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
HUDUMA KUU Tunachora ramani za kila aina ya majengo ya kisasa. Tunaangalia ubora wa ardhi katika shughuli mbali mbali kama kilimo kwa kutumia (GIS). Tunafundisha SPSS ambayo ni software...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba ya vyumba 3, yenye master bedroom 1, choo cha ndani, dinning, sitting na jiko. Kila chumba kina kabati la nguo. Inapangishwa Kisota, Kigamboni, kilometa 8 kutoka Feri ( kilometa 6...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Je una ndugu/rafiki/mtoto ambaye ana matatizo katika masomo ya Sayansi hasa PHYSICS, CHEMISTRY & MATHEMATICS (kuanzia form one(I) hadi form six(VI) sasa hilo tatizo litabaki kuwa historia, sisi...
1 Reactions
4 Replies
783 Views
wakuu,natafuta simu ya HUAWEI,ASCEND MATE 7/8,isiwe na tatizo,kama ina crake screen nifahamishe,betri inayodumu angalau siku moja(masaa 12) kwenye net,camera zote,speaker na charge system viwe...
1 Reactions
3 Replies
773 Views
Wakuu Nawakaribisha wale wafanya biashara wa chenga na wale wafanya biashara wa pumba laini kuna mzigo wa kutosha, karibuni sana chenga bei ni @ 850 mpaka dukani na pumba debe 7 ni 30 elfu mpaka...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyosema hapo hali ngumu ya maisha ndo inanifanya niuze hii simu Simu inakaa na chaji vizuri tu na bado ipo katika hali nzuri kabisa Napatikana mwanza Utanichek PM kwa mawasiliano...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu!!. Nahitaji kofia za ukili, kwa anaejua zinakopatikana naomba anielekeze. Nahitaji kwa bei ya jumla kama kofia 50. Nipo geita mjini. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nakodisha na kuuza majukwaa ya kujengea au scaffolds.Mafundi wa kufunga na kufungua scaffolds wenye ujuzi wapo.Kwa mawasialiano piga simu namba 0769803848 au 0714044310
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari, Tunazo Dell Desktop zenye windows 7, Ram 4GB, HDD 500GB, Processor core i3 bei 350,000. Tunazo pia desktops za bei nafuu zaidi zenye pentium duo core, Ram 2gb, hdd 500gb zinapatikana kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
canon, printers, photocopiers passportsizes mashines (used but in good condition) bei canon 1020 ir - (copy mashine and printer)- 630,000/= canon ir 1530 (copy and printer) - 530,000/= hp printer...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dar es Salaam, Tanzania printer ya epson l 805 (sifa yake inasafisha picha zote kuanzia ukubwa wa A-4, 5*7, 6*8, PASSPORT SIZES N.K) BEI NI 550,000/= HP KUBWA INAYOPRINTI NA KUTOA KOPIES PAGES ZA...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kama unahitaji mashine Kutoka nje ya Nchi yetu hapa ni mahala pako sahihi Mpaka tractors,powertilla, Bakery Vifaa vyote,Alizeti n.k Note:(Kwa wale wanaohitaji za ndani tumeweka Uzi maalumu )...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wanajamvi natafuta chumba maeneo ya survey, kikiwa near kontena itafaa zaidi,but usalama muhimu,Kama Kuna mtu unamfahamu anapangisha nijuze hapa....! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
946 Views
Back
Top Bottom