Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Linafaaa kwa ufugaji wa samaki lipo maeneo ya misugu sugu lina ukubwa wa ekari moja , chemchem ipo ndani ya hilo eneo, karibuni wateja +255713976563 Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
37 Replies
3K Views
We have used containers both dry containers and reefer containers for sale in Dar es Salaam. Price for 40HC dry container is $2100/- and price for 40RH reefer container is $8400/-. Kindly...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari wakuu Nauza shamba langu lipo maeneo ya kimanzichana shamba lipo karibu na maji pia lina miti ya mipapai ambayo inakaribia kutoa maua shamba libaukubwa wa ekari mbili na mipapai zaidi ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za wakati huu, Inauzwa Nissan Xtra Cc 1990 ya mwaka 2001,imetembea Km 99,800 tu. Gari haina changamoto yoyote ile kiujumla iko vizuri sana tena sana yaani ni kama mpya haina hata mkwaruzo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
kiwanja kinauzwa ukubwa 35*25 kimepimwa kipo buhongwa mwisho kutoka lami hadi kiwanja kilipo ni mwendo wa dakika kumi kwa miguu kimepimwa kina Bcon tayari ni kizuri sana kwa maelezo zaidi Whatsapp...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji fundi ujenzi. Na nitampatia kazi ya ujenzi kama atatimiza vigezo hivi. 1. Apige hesabu ya jengo lote kuanzia mwanzo mpaka mwisho (materials nk) 2. Aweke labour charge zake wazi. 3...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba msaada ni wapia au duka lipi linauza chupa ndogo kama hizi iwe ndani ya mkoa wa kilimnj.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari za Leo! Nnawauza Kuku aina ya Sasso na Kroiler, wana Umri wa Miezi 4 na 5. Wapo Majogoo na Majike wanaoanza kutaga. Majogoo sh Elfu 11 kwa Mmoja na Majike ni Elfu 13. Ukichukua majogoo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Uandaaji wa malengo mahsusi ya mradi yaani " project objectives" ni hatua ya awali kabisa katika uibuaji wa mradi (project planning). Malengo mahsusi ya mradi ni matokeo shikika/onekana...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
WEB TECHNOLOGIES: LINDA BIASHARA YAKO NA MALI ZAKO TUNAFUNGA CAMERA,ELECTRIC FENCE, BIOMETRIC DOOR ACCESS, COMPUTER REPAIR, DATA RECOVERY #CCTV TANZANIA,CCTV DAR PIA TUNAFUNGA ALARM SYSTEM...
0 Reactions
3 Replies
929 Views
Banda la mkaa linakodishwa Eneo liliopo ni Kunduchi beach (mtongani) Biashara ni ya kuaminika kabisa Unaweza kuja kuona eneo lenyewe pia Malipo ni kwa miezi mitatu au sita Sh 30000 mwenzi...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Laptop inauzwa: Aina: Dell latitude D610 HDD: 250 GB Ram: 2GB Windows 7 DVD/CD/RW capacity Battery duration: 30 minutes Location: Dar Price: 220,000 Tsh
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Banda la mkaa linakodishwa Eneo liliopo ni Kunduchi beach (mtongani) Biashara ni ya kuaminika kabisa Unaweza kuja kuona eneo lenyewe pia Malipo ni kwa miezi mitatu au sita Sh 30000 mwenzi...
1 Reactions
0 Replies
977 Views
Samsung Galaxy on5 6 ram 2gb internal 16gb fingerprint with 4g lite. simu bado mpya aijafunguliwa Tena Aina miezi mingi kwenye matumizi. Bei sawa na Mali 250000 punguzo lipo kidogo you can call me...
0 Reactions
0 Replies
660 Views
Nauza ardhi eka 4.5 nina shida ya hela ya haraka nauza kwa bei ya hasara milioni 9. Eneo liko jirani na shule ya private, barabara zinapitika. Mwenye kuhitaji tuwasiliane inbox Sent using Jamii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari JF, Nina safari ya kwenda dodoma Jumatatu, leo nikasema niweke ticket in advance kupitia mfumo wa Shabiby wa ukataji ticket, kiukweli kama mdau wa maswala ya technolojia, huu mfumo umekaa...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
ENEO LIMAUZWA SALASALA DETAILS Ni eneo lenye nyumba ndogo ya vyumba vitatu(kimoja ni master room) pia ina jiko,dinning,sitting,public toilet Lakini pia kwa mbele kuna frame za maduka 12 Na kwa...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania bado tunakumbwa na tatizo la uaminifu katika magari. Mtu anaagiza magari ya kuuzwa lakini anaanza kuyachezea Mara atoe radio Mara abadilishe engine nk. Naomba kama mwenye kujua...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key) Kwa magari madogo na makubwa eg. TOYOTA,VW,BMW,FORD, Benz, Iveco, Scania nk...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom