husika na kichwa cha habari hapo juu nauza kiwanja chenye ukubwa wa 40*30 kimepimwa na hati miliki zipo mkononi maji umeme yapo kipo meta kadhaa kutoka ziwan yaan ukisimama kiwanjan unaona ziwa...
Hello, Mimi naitwa Priscilla nipo China for studies
Pia ninafanya biashara ya kufungia mizigo wholesale buyers kupitia Instagram page @panda_sourcing @panda_sourcing
Bidhaa tofauti kwanzia nguo za...
Nauza camera aina ya canon 5d mark ii, bei ni 1.6M maongezi yapo zaidi.
ni used toka South Africa na ipo katika hali nzuri kabisa
mawasiliano 0658644485
Habari wanajamvi, naomba mwenye ufahamu juu ya mnada wa Magari bandarini. Hasa kwenye uzima wa hizo gari, na taratibu za kukamilisha umiliki. Je ina usumbufu na gharama zaidi au kuna unafuu?
Sent...
Husika na kichwa cha habari hapo juu ninauza kiwanja chenye ukubwa wa 16*30 kimepimwa kina bcon mimi ndiye mmliki huduma za jamii kama maji umeme tayari vimefika
bei ni milion mbili na nusu tu...
Nyumba zipo mbili kwenye compound ya 3500 sqm
(1) Ina vyumba 3 kimoja self na ukubwa wa kiwanja tunagawa 1500sqm
Bei 300m
(2) ina vyumba 3 vyote ni self na ukubwa wa uwanja itakuwa 2000 sqm
Bei...
Karibuni mjipatie furniture's imara kwa bei nafuuu ,tupo morogoro sua road .popote ulipo unafikishiwa , WhatsApp 0652353981(ROMY FURNITURE) huwa hatubahatishi ni zaidi ya mchina
Sent using Jamii...
ninaiuza noah new model kwa bei ya kutupa kabisa kwa 6.5m gari haina tatizo lolote mwenyewe amekwama tu kiuchumi inapatikana dar
0623953036 njoo uikague
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mashine ipo katika hali ya upya, imetumika kwa wiki moja tu. Ina uwezo wa kufanya zote cold lamination na hot lamination.
BEI: 110,000/=
Kwa mtu yeyote anahitaji tuwasiliane kwa no 0762903592 NIPO...
Shamba lipo kigamboni mwasonga zimebaki heka 5 zinazotumika kwa kilimo, maji yapo, ulinzi upo. Mazao yanayoweza kustawi ni jamii yote ya mikunde, mbogamboga, mahindi, matikiti, pilipili zote. Heka...
( Kwa WAJASILIAMALI WANAWAKE waishio Dar es salaam )
10 women,6 months coaching inaletwa kwenu na kampuni ya Yellow heels consulting ( Kampuni mahususi kwaajili ya kukuza na kubadili biashara za...
Wanajanvi natumaini mu-wazima wa afya lakini pia pole nyingi ziende kwa wale wanaojisikia vibaya
Kama kichwa cha uzi hapo juu, Natafta malighafi zifuatazo nitazipata sehemu gani kwa mwanza au...
NI MASHINE INAYOTUMIA MKAA KIDOGO KUOKA MIKATE NA KEKI,
MASHINE IPO TABORA INAKUFIKIA MPAKA ULIPO ILA UNACHANGIA NAULI TU.
BEI NI TSH 500,000/=
MAWASILIANO 0769601703
TAZAMA PICHA HAPA
Habar wakuu! Nauza kiwanja changu mwenyewe sio daral! Kiwanja kina urefu wa mita 20 upana mia 12! Barbara umeme na maji vyote vipo. kiwanja kipo mbeya jiji iyunga mita chache kutoka eneo la chuo...
wakuu..wapi ninaweza pata usafiri wa kampuni yeyote ya kutuma mizigo toka Dar kwenda Mbeya iwe lori au usafiri wowote rahisi..mizigo hiyo ni vitu vya ndani k.v fridge,masofa,kitanda etc..Naombeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.