mwenye kuhitaji pesa aina ya rupia ninayo nauza.hii rupia picha yake ina mtende na simba mmoja kasimamisha mguu mmoja.ya mwaka 1892
nyingine inamtende na simba wawili
Habari wandugu!
Tatizo la kuoanda bei kwa gesi na mkaa limepatiwa suluhisho baada ya majiko local yanayotumia mawe na nguvu ya jua ya solar kugunduliwa.
Jiko hili linatumia mawe ya kusugulia...
Naiuza Toyota Ist yangu mwenyewe bado Mpya kabisa .imesajiliwa uber na taxfy ,haina shida yoyote .ina cc 1290, ya mwaka 2004 .
Bei mil 9.4 ukiichukua tuu unaanza kuitumia mda huo huo imeshalipiwa...
Xiaomi mi max, inauzwa Tsh, 400,000/= internal 64 gb, ram 4gb, camera 16 mp kwa 5mp, betri ni 4850 mAh, nipo dar es salaam, no 0754825238 na 0719442377, maongezi karibuni
Sent using Jamii Forums...
Saloon iko Dar,awe serious kufanya kazi na mwaminifu,..binti anaweza toka ndani ya Dar au mikoa ya jirani na Dar,kama Morogoro,Pwani,Tanga na Dodoma..mwenye ujuzi aje PM..Asanteni.
Sent using...
NYUMBA MBILI ZINAUZA UNUNIO MAELEKEZO
Zipo ndani ya compound moja
Zote zina Vyumba 3(1 Master)
Sebule,jiko na public toilets UMBALI
Kilometa 1 toka baharini( Beach)
DOCUMENTS
Eneo lake ni SQM...
Tunauza mashati ya kisasa Kwa
jumla 14000
Rejareja 18000
Tunakufikishia bure ulipo Kwa daressalaam.
Kwa mawasiliano ya Biashara zaidi tutafutane Kwa namba 0682939645.
Email, mweme...
Habari zenu ndugu.. leo nimekuja na hii... "katika mradi wa kutengeneza rail mpya ya train ziendazo kwa kasi (Standard gauge railway) Tanzania. kampuni ya YAPI MERKEZI kutoka nchini uturuki ndio...
Salama wakuu,
Nahitaji mashine ya kutengeneza popcorn,
iwe ya umeme kwa matumizi ya kutengeneza popcorn za biashara.
Nipo Tunduma yeyote mwenye kujua inakopatikana na bei zake tafadhali naomba...
Model: Toyota Noah new shape
Year: 2008
Engine capacity: 2000cc
Mileage: 21,000 (km)
Loc: dar ( makumbusho)
Price: 9.5m
Call/SMS : 0756 832833
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau sallam kwenu wote!!kwanza sinahaja ya kuja na ID fake!!naandika na hii hii ya miaka yote,atakaenichukulia tofauti atajua mwenyewe sijali wala nini[emoji57]!!
Jamani tunamgonjwa...
Umuofia kwenu Wakuu,
Kwa MWENYE pikipiki used Aina ya boksa aweke picha hapa Kisha tuongee nahitaji.
Kwa MWENYE pikipiki Aina nyingine tofauti na boksa pia anaweza kuniwekea picha HUENDA...
Habari
Wakuu kwa watumiaji na wauzaji wa mayai tunasambaza mayai kwa bei ya Tsh 7000/= tupo mwenge karibu na kota za JKT,
Pia tunasambaza kwenye migahawani, hotel, wauza chips, maduka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.