Habari za Leo wanajukwaa, Ni matumaini yangu mpo salama na mnaendelea vyema na na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja mbele yenu kuwaletea bidhaa za kutibu matatizo ya vidole vilivyopinda na...
Kuhusu Kibaba MFS
Kibaba ni Program yenye uwezo wa kurahisisha kazi zinazofanywa na Vikundi ya Kuweka na Kukopa yaani ViCoBa, MFI na Upatu. Ukiwa na Programu hii utahitaji Kompyuta au simu au...
Habari za leo wakuu;
Nina wazo la kuanzisha biashara ya ice cream maeneo ya Moshi (Jirani na Muccobs) naomba ushauri wowote wa kitaalamu kwa mwenye uzoefu na hii biashara. Pia naomba kujuzwa...
Wakuu naombeni mnipe taarifa kwa anaejua hizi mashine zinakouzwa.
Nipo dar nahitaji mashine ya size ya Kati kwa ajiri biashara ya kusindika unga wa sembe na Dona!
Nazitafuta ila wengi wamenipa...
Welcome to stekdigital online shopping store which launched earlier today by young Tanzanian . Place your order any product and we will bring the products to your fingertips.
Just click: Products...
Hatua zipi ili (Muuza) aweze kufikia wa wadau kwa kutumia jukwaa la "Mitandao?
Je! ipo kampuni rasmi inayopokea, kuandaa, na kuweka matangazo kwenye Mitandao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari njema na yakusisimua ni kwamba Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi ambacho kimeeleza kwa undani historia ya John Gideon Okello maarufu kama Field Marshal kimekwenda kuiibua familia ya...
Habari wana JF wenzangu...napenda kuwajulisha kuwa tumefungua kiwanda cha kutengeneza mkaa wa kisasa kilichopo Mbezi Msakuzi...
Mkaa huu (Jina Mkaa Maridadi) ni bei rahisi, unadumu kwa muda mrefu...
Wakuu !
Nina mjoma wangu umri ni around 40s alikuwa anafanya kazi kama dereva kwenye shule flan hv maarufu hapa mjini dsm akiwa anaendesha staff bus,ila bahati mbaya mwaka huu mwenye shule...
Bajaj aina ya TVS iliyotumika ndani ya miaka miwili tu. Inauzwa. Sh. Million 4 tu .pia bei inapungua kulingana na maelewano Bajaj hii ya bei nafuu kabisa inapatikana mkoani Tanga Wilaya ya Korogwe...
Hallo JF,
Kwa anayehitaji kiwanja kizuri sana. *Prime area* Nyuma ya barabara kubwa ya Mtaa, huitaji hata nguzo ya umeme.
Maji ya Dawasa yako Mita 12.
*NB: kituo cha basi ni Bunju-Mingoi, Njia...
Natafuta kati ya gari mbili
Toyota Harrier iwe
engine type - 2AZ ~4WD
Model type - CBA ~ACU 35W
Mwaka - 2003 kuendelea
Au
Suzuku Escudo
Engine - J20A
Model type - LA~TL52W
Mwaka - 2001...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.