Nauza functionality za gari ya michezo ya gemu za kwenye kompyuta ambazo utazitumia kuchezea gemu kwa kuendesha kama kwenye gari halisi.
Functionality hizo ni steering, gear, accelerator na...
NYUMBA INAUZWA TABATA SEGEREA
DETAILS:
Ni nyumba ya vyumba vitatu kimoja wapo ni master room.
Pia ina dining,sitting,public toilet,jiko,parking kubwa na fensi
Eneo limepimwa lina sqm 412 ila hati...
Jipatie full set ya Dstv kwa 79000/= pamoja na ufundi bure na package ya kifurushi kuwatch miezi miwili (2) free Pm me nikuletee mpaka nyumbani kwako bureeee kwa Dar
#DstvPopote
Sent using Jamii...
Wanandg nauza kiwanja chang sq mita 625 kwa shilingi mil 4
Kiwanja kipo kigamboni Mwongozo, kimepakana na makazi ya NSSF
Huduma za kijamii zipo
Kina hati ya serikali za mitaa
Kipo tambarare na...
Agiza sasa vifaeannga wa mayai wavumilivu wa magojwa na wana chanjo zote tupo arusha kwa mawasiliano tupigie simu number 0769916681
Karbuni sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau ..Toyota Ractis iko katika hali nzuri sana inauzwa ..
Ina yafuatayo
Toyota Ractis : 2005 1300cc
Milage: 77,000km
Perfect condition
Regular maintenance logs available
Bei :::: 9,000,000...
Gari Subaru Outback 2006 Model, CC 2990, Auto - manual, Sports & Sharp Sport options, full AC, Sports Rim "17, full vikali, no. D, mziki wa nguvu, iko sokoni. Mileage kdg, nzuri sana kwa long...
Kwa wale wenye supermarkets,restaurants,familia kubwa na wapishi mbalimbali. Tafadhali wawasiliane nami kwa ajili ya kuwasambazia vegetables na vyakula mbalimbali kama vile-
Nyanya...
Bado iko katika hali nzuri (mpya), Ina RAM 3GB, STORAGE 32GB. Vifaa vyake vyote vipo mpaka risiti na warranty yake. Bei yake nataka 255 tu. Karibu Pm.
Sent using Jamii Forums mobile app
Subaru Outback, 2006 model, Auto - manual , Sports & Sports Sharp options, full AC, full vibali, mziki mkali ,Mileage kidogo, Tairi mpya, Sports Rim "17, Engine CC 2990, gari nzuri sana kwa masafa...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu mihogo ipo tanga hale ,hekari mbili na ipo tayari kwa kukuvunwa .
nawkaribisha wanunuzi na ushauri pia jinsi ya kuuza sababu ndio nimeanza kilimo...
Vijana watatu, Robinson, Richard na Robert wanapanga kuingiza kiasi cha Dola za Kimarekani, Bilioni nne ambazo ni zaidi ya Shilingi trilioni kumi. Ili kuingiza pesa hizo, wanahitaji akili kubwa...
Habari za uzima wakuu, kama kichwa cha Habari kinavyojieleza nisiwapotezee Muda niende moja kwa moja kwenye main point
Mimi ni FUNDI SOFA ninayetengeneza SOFA AINA ZOTE NA KUREPAIR sofa za zamani...
Salaam
NYUMBA inapatikana Tabata, Kinyerezi
Particulars
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala (master inclusively)
Full tiles, gypsum and aluminium windows
Ina perving blocks na iko ndani ya fensi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.