Bado offer zetu zinaendelea kama ifuatavyo
1)Webdesign kwa gharama ya 200000/=tu
2)Webhosting kw gharama ya 85,000/=, kwa vipengere vifuatavyo;-
* 1GB mysql space
* 40GB Bandwidth
* Free Domain...
Kwa makandarasi, wafanyakazi na wafanyabiashara wa kada zote na Taasis za serikali na binafs.
Matofali haya ni ya kisasa kwani ya gharama nafuu kwa ujenzi wa nyumba za kisasa.
Matofali yana...
Imetumika miezi 4 tangu nimeinunua.... Haina tatizo lolote na naiuza kwa sababu nina shida na pesa...Napatika Moshi maeneo ya KCMC.....kwa simu namba 0737319796
Bei 130,000/=
Katika kuelekea kutimiza mwaka mmoja tangu kuanzishwa rasmi kwa Section 20, tunatoa punguzo kwa watu wanaotaka kusajili kampuni katika jamhuri ya muungano wa Tanzania
Sajili kampuni yako sasa na...
Habarini wanaJF,
Gari aina ya Toyota Allion (T5*0DF*) inauzwa au exchange inaruhusiwa.
Ukubwa wa Injini: 1750cc
Sehemu: Dodoma Mjini
Bei: Mil. 10.5
Karibu PM ambaye uko tayari
Ndugu wana JF,
Kwa wale wanaohitaji kusajili laini za mitandao yote, voda, tigo,airtel TTCL na halotel wanione .Ni laini za chuo na za kawaida bei Maelewano huduma n ya uhakika na salama...
Salaam kwenu,husika kichwa cha habari hapo juu.
Kutokana na hari halisi ya maisha yanavyokwenda,nimeona niwashirikishe hili sana jf wenzangu wa Mtwara ili tu kupata msaada wenu.
Kuna ndugu...
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Kuna kiwanja chenye ukubwa wa sqm800 kipo kinyerezi mwisho dakika 5 kwa mwendo wa miguu toka barabara kuu ya lami. Bei yake 22milion, mazungumzo yanaruhusiwa...
Habari wakuu, Nahitaji nyumba ya haraka sana,
Sifa:
Vyumba Viwili+ Jiko
Isiwe mbali na barabara kuu ya Morogoro road
Iwe inafikika kwa Gari,
Maeneo -Kimara mwisho kurudi hadi Ubungo au Survey au...
Kwa yeyote anayehitaji kutengenezewa website au application ya simu tuwasiliane ,pia tuna punguzo la webhosting kwa gharama za chini kabisa mfano 1GB mysql space na 40GB bandwith utalipa kiasi cha...
Aasalama ndugu zangu wana Jf.
Mm ni muhanga wa mafuliko sehemu nilipo kua naishi awali ambapo niliingizwa mkenge na madalali. Hivyo nimeamua kulifikisha hili mbele yenu kupata msaada wa zarura...
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninaomba kufahamishwa ni wapi kwa hapa Dar es Salaam nitapata vifungashio vya mikate (sehemu ya kuprint mifuko) na keki. Naambatanisha picha za baadhi...
Kiwanja kinauzwa
Kipo same KILIMANJARO.
KIJIJI CHA RUVU DARAJANI.
HATUA 70 KWA 35
Umbali wa kilomita moja toka barabara kuu.
Bei ni Tshs 850,000 (bei inazungumzika)
Sababu za kuuza ni pamoja...
Pia tunafanya surveying (underground water) borehole flashing ,bei zetu kama zifuatazo
Mita 50 milioni mbili na nusu (2,500,000)
Mita 60 milioni tatu (3,000,000) mita 70 milioni tatu na nusu...
Wadau habari za jumapili.
Naomba kujua mahala ambapo naweza pata car vacuum cleaners kwa Dar es Salaam.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.