Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Mm
Mm Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
437 Views
Niko dodoma Mjini kati, niuzie simu yako uliyoitumia Smartphone (Tecno/iTel), isiwe na tatizo lolote nataka nimnunulie Dada wa kazi. Nitaihakiki ubora wake kabla ya malipo. Nina 60,000 Cash...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari, natafuta mashine (sacket) ya Huawei mate 8. Yeyote aliyenayo ama anayefaham sehem ambayo naweza kuipata naomba tuwasiliane 0717546885. Nipigie ama nitumie msg NB; Mda mwingi nakuwa sipo...
0 Reactions
1 Replies
384 Views
Digital tv aina ya mobisol ipo sokoni imetumika mwezi mmoja tu Sababu ya kuuza: nipate mtaji wa kuongeza kwenye biashara zangu Nilinunua au ni ya wizi: jibu ni hapana kuna...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika design mbalimbali ambazo nimekuwa nilizifanya katika kukabiliana na tatizo la umeme mdogo katika nyumba zetu,Ambapo kwanza nilianza na design ya COUPLELING nikaja na PUSH and PULL na sasa...
0 Reactions
27 Replies
14K Views
jamani yeyote ambaye anauza au anakojua zinapatikana photocopy mashne used kwa bei rahsi aniambie. Inahtajika haraka sana
1 Reactions
21 Replies
14K Views
Mwenye hela jamani anicheki kwa hii friji, nzuri kwa wanaoanza life kigeto geto na wanafunzi wa chuo. Contacts: 0672298877
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba kuhabarishwa malipo ya facebook ads yanakuwaje? Je unaweza kutangaza ukiwa hauna hela? Wanakata pesa kabla ya tangazo au baada ya tangazo?
0 Reactions
5 Replies
881 Views
Kiwanja kimepimwa kipo kimbiji kigamboni kipo sehemu nzuri karibu na mji WA evic town bei ni milioni kumi mawasiliano 0655634017 kwenye hiyo ramani kiwanja namba 244 Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau kiwanja kipo kigamboni kimbiji kiwanja namba 244 Bei ni shilingi milioni kumi pungufu unaongea Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Habari za saa hizi wakuu? Rejea kichwa cha tangazo hapo juu natafuta sehemu ya kufungua gori la chips hapa dar es salaam. ningependa nipate sehemu wanayouza chakula au bar mi nideal na kuuza...
0 Reactions
2 Replies
902 Views
Habari wana jamii forum , kama kichwa cha habari kinavyo jiheleza hapo juu natafuta shamba la kukodisha liwe maeneo yanayo weza kufikika kwa huraisi ndani ya jiji la Dar es salaam, sana sana...
1 Reactions
36 Replies
7K Views
Wanajamii, Nipeni msaada wapi naweza kupata engine hiyo kwa ajili ya matumizi ya gari la familia. Engine iliyokuwa kwenye gari ilo imeleta shida hivyo nabadili na kuweka hiyo 3s-ff kulingana na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar
0 Reactions
0 Replies
500 Views
Laptop toshiba inauzwa core i5,RAM 4GB,HDD 500GB imetumika miezi 8 ni kama mpya bei laki 4 ,kwa anehitaji nichek whatsapp 0752800226
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana JF, Naomba tuutumie uzi huu kutangaza bidhaa za ndani kama redio, TV, fridge, ving'amuzi, set za vyombo, kabati za nguo na vyombo nk. Weka picha ya bidhaa, contact zako...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu wapi katika jiji la Mbeya naweza kupata shamba au kiwanja. Nina mil. 3. Nataka kulima na kujenga na pia kufuga. Viwanja vya bei poa.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ni muhimu kufahamu kwamba, mchakato wa uandaaji wa andiko kwa ajili ya zabuni una ushindani mkubwa. Uwasilishaji wa andiko huanza kufanyika baada ya mteja kutoa wito wa uwasilishaji wake yaani...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Bila kupoteza mda, member mwenzenu nahitaji namba nitakayoweza kuwapigia Airtel na kuongea moja kwa moja na costumer care.. Sitahitaji namba ambayo ukipiga unaanza kupewa maelezo meeeengi, mwisho...
0 Reactions
2 Replies
696 Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu...natafuta chumba na sebule na choo ndani...maeneo ya kimara mwisho bonyokwa vyumba vinane, Mbagala rangi tatu au mbagala zakhem. Na maeneo yanayozungukq...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom