Wadau pole na majukumu, kuna kiwanja / kiwanja kinyelezi kimbii, yani sehem imechangamka badalaa, na barabara imenyooka.
Nauza kwa 40M. Maongezi yapo, nahitaji kuhama faster kama kuna mtu...
Habari,
Tunaunda na kufunga system ambayo itaweza kutambua route ambazo gari yako imefanya kwa siku au mwezi.
Kupitia system hii utaweza
*kujua route ambazo gari yako imefanya kwa siku au mwez...
Habari Wapendwa
Nauza gari aina ya Nissan Civilian namba B kwa gharama ya Milioni 8 tu, gari ni nzima na inatembea vizuri tu mawasiliano 0659756647 Whatsapp au kawaida
0623953036
Sent using...
Je wewe n mkulima au ungetamani kuingia kwenye kilimo natoa ushauri wa bure juu ya Aina nzuri Na Bora ya trekta ?
Na connect na trekta zinazouzwa Bei nafuu hapa Tanzania (unanip posho kidg)
Na...
Tz matata collection inawatangazia watu woote wenye uwezo wa kutaka kufanya biashara kwa mtaji mdogo TUWASILIANE NUMBER 0719818147 AU 0687265045
VITU JUMLA NI THE 10500
Tz matata collection...
Nahitaji second hand tractor la kununua ambalo halija lima hapa Tanzania, make ni Fm 240 au ford 3500.lisiwe Turbo power.Kama litakuwa NA Majembe yake bora zaidi (jembe la kawaida na la tuta)
Karibu chumba chenye upana wa 4 mita na Urefu wa 4.5 mita. Ni self contained Kinapangishwa kwa Tshs 50,000/ kwa mwezi Kiluvya Madukani. Unaweza kutupigia number 0788-318671 kwa maelezo zaidi...
1. Apatiment- Kunduchi Beach
Ina Vyumba 2 Kimoja Kina Choo ndani, Sebule, Jiko na Choo cha Kuchangia.
Ina Fensi, Maji ya dawasco, Luku yake .
Inapangishwa Kwa Tsh 350,000 Kwa Mwezi Mmoja...
Toyota KLUGER (DMD)
Year 2004
Cc 2360
Kms 70,000
Engine Vvti
4Cylinder
Sport Rims
Forg Lights
Seating Capacity 5
Music Radio/
Cd/Bluetooth
Clean Seats
Full Documents (File)
Fuel Petrol...
Nipo bagamoyo nahitaji mashine hio ili nikabiliane na hali ngum ya maisha.. Mashine iwe used,, na isiwe na tatzo lolote.. Ni PM KAMA UNAYO.. HASWA KWA WAKAZI WA PWAN NA DAR
je wapi nitapata mashine ya kutengeneza mifuko ya karatasi?
Maarufu mifuko ya kaki kuanzia robo kilo, nusu, kilo hadi kilo 2?
Hii inatumika sana madukani na hata kufungia vyakula(take aways)
Naitaji kutengeneza bahasha zile ambazo watyu uwa wanafungia vyakula wana wekea bidhaa kama simu mafuta n.k
Msaada wangu nikujua namna ya ukinjaji wazile bahasha na je.upatikanaji Wa malighafi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.