Hi ladies karibu katika page yetu na duka letu uweze kujipatia vitu bomba kama viatu aina zote kama flats , vya mtoko, heels na simple aina zote pia kuna urembo kama saa, pete, hereni na bracelate...
Kama uko kwenye ndoa hujabahatika kupata mtoto na umepima hospitali wewe na mke wako mko vizuri tu nataka niwasaidie, sitaki ata shilling kumi ya mtu, nikikuomba hela jua mimi muongo ila nachokata...
Habari,
Tunaunda na kufunga system ambayo itaweza kutambua route ambazo gari yako imefanya kwa siku au mwezi.
Kupitia system hii utaweza
*kujua route ambazo gari yako imefanya kwa siku au mwez...
ARUSHA ARUSHA
This week ni zamu ya arusha unaletewa hizi earphone mpaka ulipo bureee weka order yako sasa
Kama upo arusha na unahitaji hizi earphone mwisho wa kuweka order ni leo jioni
Zimebakia...
Codelab Technologies Call us (0768 108 131)
Micro-finance Software ni software kwajili ya makampuni ya kukopesha (micro-credit/micro-finance companies) software hii itaiwezesha kufanya...
Habari zenu waheshimiwa,
Naomba kuuliza kama kuna yeyote anajua mahali pa uhakika ambapo nitaweza kupata mayai ya kisasa kwa bei ya jumla. Ntakua nachukua tray za kutosha.
Shukran sana wakuu!
Mbezi, Dar es Salaam, Tanzania...
Naitwa Enock, napatikana Mbezi mwisho (Mbezi ya Kimara), mimi ni fundi wa kutengeneza sofa kwa bei nafuu.
Napokea oda kwa anayehitaji.
Nyote mnakaribishwa...
Afrotech ni wataalamu wa matengenezo na maboreho ya mashine za maofisni na stationary
Tunapokea oda na tender za services kwa Dar es salaam
Ukiwa Kama mdau ambaye unaweza fanikisha tenda au...
stand ya tv elfu 35 tu
jiko la gass lina gass full elfu 45
kabati languo laki na 40 ni mchina
tv aina ya singsung inch 21 almost new laki na 30
kwa maelezo mapatano plz wasiliana na hii namba ili...
Shamba / Eneo linauzwa hekari 8.
Lipo
Wilaya : Kisarawe
Kata : Msimbu
Kijiji : Mwanzo Mgumu
Kuna mto wa msimu unapita mpakani mwa shamba
Kutokea chanika stand nauli ya daladala ni Tsh 2000 mpaka...
Karibuni dagaa wa kukaanga
Napatikana mwanza.
Nnje ya mkoa wa mwanza natuma
Ndani ya mwanza utaletewa popote ilipo kianzia paketi 10.
Leja leja 1000
500
Jumla 900
400
Ndoo ya kilo ishirini...
Tunaunda na kudesign vifaa mbalimbali vya ki-electronics kama vifuatavyo
AUDIO
-Music boosters for Home or Concert
-Music boosters for car.
ELECTIC PROTECTORS
-Voltage regulators
-Low voltage...
Habari wadau.
Natumaini wote wazima tunapambana kutafuta mkate.
Dhumuni langu ni kutangaza sehemu ya biashara barabarani kabisa eneo la Buyuni - Taliani (kuelekea chanika). Nakodisha eneo bure...
Ninauza Panasonic camera DMC-GH2 (hacked) hack has a higher bitrate 176mbit ambayo ni professional video quality.kwa hiyo unahitaji uwe na memory card iwe na high speed write kwa ajili ya video...
Kwa bati imara na Bora karibu katika kiwanda Cha Yalin global limited kwa Bei nzuri ,bati za vipimo kwa saizi yoyote zinapatikana ,tunapatikana tabata matumbi jirani na kampuni ya usangu.
Sent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.