UFUTA UFUTA UFUTA
Ufuta kilo moja shilingi 2,900/=
Zimebaki tani 20, Dar es Salaam.
(Zinauzwa zote kwa pamoja)
Karibuni sana.
0659890000
fmlyimo@gmail.com
970cc
Seat 5
Mafuta Petrol
Na Imelipiwa kila kitu.
Manufactured 2005
BEI ; 3.9M
Kwa mawasiliano zaidi
0767833496(Call)
0622111186(Whatsap)
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina mashine ya selcom ipo tu ndani baada ya kufunga kiofisi changu cha tgo pesa bdo mpya tu kwa anaehitaji mawasiliano 0716686118 na 0692928928 naiuza 450,000
Nimeamua kutengeneza njia haijalishi gharama yake. I'm ready! I'm ready! I'm ready!
Dunia Uwanja wa Fujo. Ni heri kufanya fujo zangu kisha nijiondokee. Haijalishi njia ya kuondoka kwangu. Hakika...
Wadau kama kuna mwenye gari analiuza tuwasiliane haraka.
Town trip car, ndogo gharama isizidi 5m,engine isiwe ilishawai kuguswa kwa namna yoyote ile.
Namba D itakuwa vizuri zaidi.
Sent using...
Nauza juice dispenser, ina bucket 2 kila moja ina ujazo wa lita 18. Ipo vizuri, haina dosari yoyote. Bei ni TSh. 650,000/=. Serious buyers you are welcome!. Contact: 0653 118 453.
Nipo dar...
Wakuu za saa hizi. Kwa mwenye uzoefu nilikuwa nauliza gharama za ngalawa hotel and resort zanzibar.
Maana nafunga ndoa mwezi ujao nataka kwenda kufanyia honeymoon pAle
Tunatafuta wahudumu kwaajili ya Pub yetu iliyopo wilaya ya Nkasi mjini Namanyere wanaotakiwa ni wasichana wasiozidi umri wa miaka 30 tunatoa huduma ya chakula na malazi kwa Wahudumu wetu! Kwa...
Voda ni zile za double accounts (ya akiba na ya kazi).
Siuzi moja moja, Nauza zote 4 kwa jumla bei 670000 (laki 6 na elfu sabini).
Pia utapata offer ya simu 2 ndogo(hazina charger) za button bure...
Naomba kujua nini kazi ya hki kifaa maana cjaelewa ila najua kinatumika kwnye decoder ya explore na nimeona sehemu kimefungwa hki kifaa na fundi ametumia LNB ya kawaida na co smart LNB km...
Ina miezi 6 ina kitabu chake na CD inatumia wino wa unga na ina print mpaka A 3 kwa MWENYE uhitaji 0769009759 IPO iringa na haijawahi kusumbua kwa lolote,
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini,
Kuna kaka yangu ana viazi vitamu kama ekari 8 hivi na vinakaribia kukomaa ili vichimbwe.
Tunatafuta masoko ya viazi vitamu kwa mikoa ya Lindi na Mtwara.
Sent using Jamii Forums...
Natumai mpo mnaendelea na ujenzi wa Taifa. Umeme imekuwa ni tishio hasa pale inapofikia muda wa kupika. Usihofu suluhisho limepatikana,
Majiko ya kisasa kabisa yanayotumia tekinolojia ya...
Wakuu!
Natafuta laptop ninunue yenye sifa hizi kama upo Arusha au Dar ani pm.
Iwe na....
>>500GB Hard disk
>>4-8 RAM
>>Processor intel i5 to i7
>>Life Battery ianzia 3Hrs kuendelea
>>Iwe imetumika...
Ndugu zangu, Salaam!!
Nipo ktk hatua ya kupiga plasta nyumba yangu. Na kwa kuwa nina fedha kiasi kidogo nimeamua kuanza kupiga plasta kuta za ndani, na baadae nitamalizia upande wa nje...
Sim bado IPO vizuri haina shida
Ram 4gb
Internal 64gb
Fingerprint clean na 4g
No 0714018677
Location Dar kimara mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.