Wana JF natafuta chumba sebule kwa ajili ya mdogo mwangu cha kawaida choo cha nje...bei elfu 70 kwa mwezi ....maeneo ya kuanzia Ubungo kuelekea Kimara along Morogoro Road.....hata elfu 80 sio...
Habarini wakuu, katika maongezi na jamaa yangu mmoja(amewahi kusoma Thailand) aliniambia kwamba Thailand wanatengeneza nguo nzuri sana, kuna mtu pia aliwahi vaa shati kali hapo zamani ni rafiki...
Kiwanja kipo sehemu nzuri sana,
Kimeshawekewa bicon tayari
Kina urefu wa meter 30 na upana meter 32
Umbali kutoka main road ni meter 150
Kiwanja chote ni tambarare
LOCATION: PUGU (majohe) km 2...
Habari wakuu ,natumahi ni wazima wa afya . Kuna ndugu yangu kanipatia tenda ya kutafuta ng'ombe ,ambao wakikaa ndani ya miezi 6 au 12 wanaweza anza kuzaa...
Lete 270,000/=
NB: kama uijui na maelezo zaidi angalia post yangu iliyopita hii
Library ya kukodisha CD - JamiiForums
07163214100
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna anayeitaji shamba-kiwanja bado?
Mimi nauza shamba/kiwanja 20*20 lipo km3 kutoka kisarawe mjini na mita 20 kutoka barabara kuu ya lami.
Nipe 2.5M 0774110001.
Shamba la Miti linauzwa, Miti yenye miaka 4,5 na 6 Kati ya ekari 20 hadi 100.
Bei ya ekari moja yenye Miti ni Kati ya laki tank hadi milioni tatu kutokana Na umri wa Miti.
Miti ipo Njombe
Kwa...
INAUZWA
XIAOMI REDMI NOTE 2 Dual sim
Network 4g
Storage 16gb
Ram 2gb
Camera 13mp led flash
Selfie 5
Battery 3030
Display 5'5
Simu iko vizuri sana
Bei 200000/-
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu, nahitaji mwenye Binoculars nzuri used tufanye biashara. Mimi niko moshi mjini najua wengi mnaodili na watalii hapa moshi na arusha mnaweza kunisaidia. Kama unayo tuwasiliane hapa hapa au pm...
Kitabu hichi kinalenga mjasiriamali wa kitanzania kinaelezea namna ya kutengeza bidhaa ishirini ukiwa nyumbani mpaka kiwango cha kupeleka sokoni na pia ufugaji wa kuku wa mayai pamoja na kuku wa...
Bagamoyo, Magambani - ukubwa wa 2,346 sqm
Kiwanja kinauzwa Bagamoyo mjini.@Tshs.35,000,000
- Dakika cha kutoka ufukwe wa bahari
- Kiwanja kina hati. 0752984000
Habari ndugu
Kwa mahitaji yote ya nyumba, vyumba, mashamba, viwanja ndani ya Dar ea salaam tafadhali usisite kunitafuta 0659756647 au kujiunga katika group langu iwe ni kwa ajili ya kununua na...
TAI REAL ESTATE AND PROCUREMENT SERVICES. (TREPS)
✍🏽Tunatoa huduma ya UPANGISHAJI wa Nyumba, Frame za biashara na Office.
Tunatoa huduma ya uuzaji wa Viwanja, Nyumba, Mashamba, Magari nk...
Viazi miringo vinauzwa vipo mufindi karibu na mafinga,vitaanza kuchimbwa baada ya wiki mbili au tatu kutoka sasa mwezi huu februali, kwa mawasiliano piga simu 0755049741, bei ni maelewano, karibu...
Habari wakuu,
Kiwanja kinauzwa maeneo ya Bunju A Magurumawe, kimepimwa, eneo liko sehemu nzuri (kuna majirani) na sio bondeni, maji na umeme viko karibu, barabara inapitika vizuri!
Ukubwa wake...
Kiwanja kipo karibu na barabara
Location:
Street: Yange yange
Ward: Msongola
Destrict: Ilala
Region: Dar es salaam
12 km from banana (gongo la mboto)
1.5 km from kivule (frem kumi)
7.5 km...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.