Ndugu wana jf nina shida kidogo ..mtaani kwetu kuna dada nimemzimia kichiz lakin kila nikimtongoza hanielew yapata mwaka sasa ...ndugu nimewaza nikajifikilia kuwa ngoja nijaribu upande mwingine wa...
Land forsale Tabata segerea very near to the road.
Location: Tabata segerea near bonyokwa
It has title deed with 2690 sqmtr.
Ideal for Fuel station, godown, Yard, School, business centers and...
Pendeza na mwonekano wa Kiafrika kwa nguo kalikutoka GEOAFRICA DESIGN kwa bei nafuu kabisa tunafanya delivery ya bule kwa walio ndani ya Dar es salaam pia tunatuma mzigo nje ya mkoa
0678425645
Ipad 3 inauzwa.
Iko kwenye hali nzuri.
1Gb Ram
16Gb Rom
Wifi only
Camera 5Mp main camera na 1Mp selfie
Bei 250k
Ukihitaji unawezani PM kwa mawasiliano.
Karibuni excellent training center kwa huduma ya QT na RESITERs,
Ada zetu ni nafuu sana na unalipa kidogo kidogo,
Pia tuna huduma ya tuition kwa masomo yote..
Wasiliana nasi 0718949610, 0692755311
Mambo VP wadau, nauza laptop yangu ya lenovo
Iko katika hali nzuri, na ina performance nzuri sana. Lenovo: core i3, hhd360, ram 4. Bei 320000 tu. Kwa anaehitaji serious anitafute:- 0627542066
Habari wakuu
Ambaye anauza gari au anaweza nielekeza sehemu nkapata gari ndogo ya milioni 3 Tu naomba tuwasiliane.
NB ; sihitaji gari iliyo kwenye muundo wa Taxi
-Pia ofa yangu ni 3M tu siwezi...
Nauza sabuni za kung'arisha tiles na masink.. ukitumia masink na tiles zilizochafuka au kifubaa zinarudi katika hali yake ya upyaa.. mawasilkano 0712116075
Habari watu,
Kama kichwa kinavyojieleza, kwa walioko mikoani na Dar pia ninatoa huduma ya kuuza vifaa vya majiko ya gesi ya nje na yaliyotengenezwa hapa hapa.
Vifaa ni kama vifuatavyo:-
Burners...
Naitaji mtu wa kushirikiana nae katika kazi za plumbing(installation of pipes sink and so) Vifaa vyote vinavyohusika katika kazi ninavyo tutashirikiana kama team katika kutafuta chanel za kazi na...
A very powerful desktop computer a few years ago, and now it need a new home. It's still in excellent working condition and is great for graphics-intensive tasks like video editing and 1080p...
kwa mahitaji ya kupata huduma za kuchorwa , kutengenezewa mabango, kutengenezewa logo na kwa mahitaji ya huduma yeyote inayohusu painting unaweza nitafuta kwa namba +255 (0) 757964766 / 716515203...
Jezi mpya original za timu zote zinapatikana kwa bei nafuu, unapata tshirt na bukta yake kwa gharama iyo iyo, Jezi ya Simba, Yanga, Manchester United, Liverpool, Juventus, Chelsea, Arsenal ...
Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyosema, ninahitaji Mp3 player, nipo arusha.
kama unafahamu sehemu/duka lolote ninaloweza kupata nakaribisha mchango wako.
Vigezo
Brand: Sony Walkman...
Mimi ni kijana nimehitimu masomo yangu ya chuo kikuu mwaka jana (Bachelor of education with science) , Sasa nimeamua kujiajiri, Nimekuja na wazo la kuanzisha tuion center kwa hapa Arusha...
XIAOMI REDMI NOTE 2 Dual sim
Network 4g
Storage 16gb
Ram 2gb
Camera 13mp led flash
Selfie 5
Battery 3030
Display 5'5
Simu iko vizuri sana
Bei 200000/-
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.