Poultry cage nipples kwa ajiri ya kunyweshea kuku maji, incubator ndogo za mayai 48 na mayai 96. Na spare za incubator.
Tupo machinga complex 4th floor,kkoo dar es salaam.
Contacts. +255 657 705...
Habari ndugu kwa mahitaji yote ya nyumba,vyumba,mashamba,viwanja ndani ya dar ea salaam tafadhali usisite kunitafuta 0659756647 au kujiunga katika group langu iwe ni kwa ajili ya kununua na hata...
*Baada ya kufanya vizur sana kwenye ulimwengu wa simu tumehamia kwenye automobile tunatisha na bei zetu ni sawa na bure*
Mitshubish gdi safi inatembea safi 3.5milion pasho laki na nusu
Raum new...
Wandugu habari za jioni. Naomba msaada wa kupata soko zuri la vitunguu au kama utakuwa mmoja wa wanunuzi basi tafadhali tuonane inbox. Vitunguu viko hedaru.
Asanteni
Sent using Jamii Forums...
Ndugu mimi ni dereva naitaji gari kwajili ya uber na hesabu yangu ni 180,000.
Tuwasiliane kupitia 0718221009
0744952984
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasalaam wakuu,
Naomba kwa wenye uzoefu na kampuni za kukodi tractor, excavators pamoja na vifaa vya kupalilia (weeding machines) anisaidie. Mimi nipo dar es salaam ila shamba liko mkuranga...
Hii ni kuwajulisha watu wote wenye nia,kwamba atimayr madarasa ya kuogelea yanaenda kukimbiza Dar es salaam madarasa ufanyika jumatatu adi jumapili kila wiki.
Tunafundisha watoto na watu...
Mayai ya Kisasa yanapatikana kwa wingi Jumla na rejareja ( Jumla ni kuanzia trei 70). Tuma meseji kwenye inbox tuwasiliane.
Jumla 7000 -7500 kwa tray, 8000 bei ya rejareja
Habari wakuu,
Printer aina ya HP Deskjet 1510 inauzwa.
Inafanya kazi zifuatazo
1.Print
2.Scan
3.Copy
Ipo katika hali nzuri
Haina tatizo yoyote isipokuwa Color zote zimeisha
Bei ni...
Habari za saa hizi wakuu,
Nauza eneo langu lipo Manispaa ya Singida Kitongoji cha Kititimo, Kilometa 4 kutoka mjini
Eneo lina ukubwa wa 20 kwa 40, bei milioni moja na laki mbili.
serious buyer...
Viwanja vilivyopimwa kwa makazi na biashara vinauzwa
Tegeta Wazo Hill plots available Tsh 25,000 per Sqm......6 km from main road
Vikawe plots available Tsh 16,000 per sqm......3km from main...
Habari za humu, nimehitimu chuo kikuu na kupata Bachelor's Degree of Arts with Education huku nikijikita katika masomo ya English na Kiswahili.
Natafuta shule ya kufundisha masomo tajwa!, Iwe ya...
Wakuu Generator zinauzwa bei poa.
1.5kva. Tsh.350,000
2.5kva. Tsh.550,000
3kva. Tsh.750,000
5kva. Tsh.1,250,000
5kva Diesel eng Tsh 2.2m
10kva Diesel eng Tsh.8m
ZOTE NI MPYA.
Aina ya...
Wadau ,
Nataka kuanzisha biashara ya chakula , sasa natafuta mahali ambapo naweza naweza kupata masufuria makubwa yenye uwezo wa kuchukua lita 15 , 20 , 30 na kuendelea za maji. Naomba...
Habari za mihangaiko wanajukwaa, bila shaka MKO Salama na ni Jambo la Kumshukuru Mungu kwa nafasi hiyo.
kama kichwa cha habari kinavyojieleza toka hapo juu, tunauza pump za maji(surface and...
Habari wakuu.
Simu aina ya NTTdocomo Samsung Note 2 inauzwa.
Ni Line 1
Ina 32GB
Ni Mpya imetumika Wiki 3.
Box, Chaji, Headphone zake zipo pamoja na Risiti ukihitaji.
Inauzwa 220,000/=...
...Habari ndugu
Designer anaye weza tumia Adobe Illustrator au Adobe Indesign anahitajika kwa ajili ya partnership
Awe mwenyeji wa DSM au DOM
namba zangu ni 0759158357
Tuwasiliane
Sent using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.