Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Sifa za hiyo laptop ni 1. HDD kuanzia 500GB nakuendelea 2. Processor core i 5 gb 2.5 nakuendelea 3. RAM 4gb na kuendeleza 4. Display 15" 5 iwe na DVD ROM 6.iwe na uwezo wa kusapoti wifi na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
4 CHANNEL CCTV CAMERA SYSTEM DVR RECORDER FULL HD INSTALLATION CD MOUSE REMOTE 2 POWER ADAPTER 4 EXTENSION CABLE PRICE : 500,000TSH ONLY
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Msaada mwenye software ya machine ya Incotex 500f
0 Reactions
0 Replies
729 Views
AM standard cleaning team ni kampuni ya usafi iliyosajili iyojishughulisha na maswala ya usafi katika mkoa wa Arusha na Viunga vyake. Tunatoa huduma zifuatazo; •usafi wa nyumbani - kama vile...
0 Reactions
0 Replies
704 Views
NAUZA MICROSOFT SURFACE RT 8.1 Inter core i5-3317u CPU 1.70ghz Touch screen Ram 4gb Ssd 64gb Camera Os Windows 8.1 Condition used Location Upanga Bei 450000 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
715 Views
Tairi safi kabisa ajitumika hapa Bongo gari imefika bandarin ikavuliwa zote nne Bei 140,000 kwa zote Call 0673263071 zipo posta mpyaa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Anglia sifa zake Tecno C9 Android 6.0 Ram 2 GB Storage 16GB Network 4G LTE (dual) Camera 13 MP(dual) Betri 3000mAh Free auto focus cover Free internet 1 month Unataka nini tena hapo? Haina kasoro...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wananzengo, kama unauza ipad used iwe na hali nzuri tafadhari waailiana na mtu anahitaji kwa udi na uvumba, iwe na hali nzuri saaaana ikiwa na inatumia line itapendeza sana. Sent...
0 Reactions
4 Replies
837 Views
Viwanja hivi vipo Kigamboni- Kimbiji jijini Dar es Salaam, mita 500 kutoka baharini. Kutoka Kigamboni mpaka viwanja vilipo ni umbali wa Kilomita 38 ambao ni sawa na umbali wa kutoka Posta Mpya...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Naomba mwenye kujua mkoa ambao maboga yanapatikana kwa wingi anijulishe nipo arusha. Pia ningependa kujua kilo ni sh ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
549 Views
Mimi ni kijana Mtanzania ni dereva na fundi mechanical, nina uzoefu wa kutosha kwenye udereva na ufundi nimesoma chuo cha NIT udereva na chuo cha ufundi VETA Niko tayari kufanya kazi popote...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kasuku ni app inayoweza kukusaidia katika biashara yako kwan itakua rahisi wateja wako kukupata na pia kwa mteja inamrahisishia kupata number mbalimbali za kampun office,kusajili biashara yako...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NYUMBA INAUZWA DESCRIPTION: Ni nyumba ya vyumba vitatu kimoja ni master room,pia ina dinning,sitting,public toilet na parking Eneo lina sqm 2000 zikiwa zimegawanywa sqm 1ooo kwa ajili ya makazi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nauza Samsung Galaxy tablet S2 9.7" Wifi Only. Ni mpya rangi ni Gold - 550000
0 Reactions
1 Replies
657 Views
Wakuu naomba kujua bei za mashine za kunyonyolea kuku, aina zake na upatikanaji wake, Asanteni
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naomba kujua wapi ninaweza pata kwa hapa Dar es salaam, spare parts za Gari VOLVO XC 90, nahitaji wind screen na engine mounting zote(used or new). Thanks 0717696688, my Number
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kufahamu wapi nitapata spare parts za Mitsubishi. Nahitaji Engine valve na gasket kit yake. Kwa kuwa nimekata sylinder head nahitaji hizo valve zimepinda baada ya timing belt...
1 Reactions
1 Replies
647 Views
Kwa wale wakazi wa arusha karibuni snaa mjipatie mayai halisi yenye ubora, mayai haya ni kutoka kwa kuku ambao wanajitaftia chakula mwenyewe hivyo yanavirutubisho halisi kabisaa Trai moja ni sh...
3 Reactions
0 Replies
927 Views
Dinner table na viti vyake 6 inauzwa. Imetengezezwa kwa mbao halisi za Tz na sio mchina. Ukihitaji unaweza ukanicheki PM kwa mawasiliano. Ipo Ubungo Bei ni 350,000/-
0 Reactions
2 Replies
824 Views
Nauza simu smart phone j4 new version 2018 Ina mwezi mmoja 2 laki 3 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom