JIPATIE NISSAN XTRAIL KWA MILIONI NANE TU.GARI INAPATIKANA KATIKA JIJI LA DODOMA
GARI LIPO KATIKA CONDITION NZURI KABISA KAMA UNAVYOONA HAPO KWENYE PICHA ..
KWA MAWASILIANO PIGA 0789805698
Nyumba inapatikana Mbezi mwisho.
Kutoka stand mpya ya mbezi ni mwendo wa dakika nane kwa miguu mpaka kwenye Nyumba.
MAELEZO
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja ni self-contained room.
Sitting room...
Wapendwa,
Kinahitajika kiwanja kinacho face barabara ya lami hapa Dar es salaam. Ukubwa ni wowote Ila ni vema kuwe na mpaka unaojulikana wa barabara ili kuepuka kubomolewa.
Bajeti iliyopo ni 20m.
Simu ambazo napendekeza ni
Tecno W4,W5
Itel S31,infinix hot2,hot 3,hot 4 na hot 5
Kwa mwenye simu inayoendana na bei hiyo au hata kama itazidi kidogo tutaongea.
Weka picha na bei ya simu yako.
vyumba vya kupanga vipo mwenge karibu sana na stendi kuu na vingine viko kawe kwa joseph, vipo vya sitini, sabini na themanini, kwa anaehitaji kuviona tuwasiliane kwa namba 0774797679, ni full...
HABARI ZA KUTWA WAKUU NAUZA VIFAA KWA BEI YA JUMLA.
Hivi vifaa vimegawanyika katika makundi vipo vifaa kwa ajili ya
Ufundi wa umeme
Ufundi wa magari
Na telecommunication.
MZIGO UPO WA KUTOSHA...
Salama wadau,
Nahitaji Compressor used kwa ajili ya shughuli za machimbo. Karibuni uniambie uwezo wake, aina na bei unayouza.
Jambo hili ni serious.
Contact: 0765999539
Sent using Jamii Forums...
JOYCE KIRIA kupitia HAWA FOUNDATION anapenda kuwatangazia kuwa kutakuwa na mafunzo ya ujasiriamali ambayo yana lenga kumkutanisha Na ajira kijana wa kike ambaye amekaa tu nyumbani bila kuwa na...
Pata Logo na Business Card kwa ajili ya biashara yako na ofisi yako ujitangaze zaidi!
Sasa ni Kwa Tsh 5000 tuu kwa kila huduma...
Call/WhatsApp 0713469213
Visit www.slaustec.com
Sent using...
Kiwanja kinauzwa
Location: Magaka,manispaa ya ilemela
Sifa:-Ukubwa wa kiwanja ni 20*28
Kimepimwa na kipo kwenye makazi ya watu,huduma za maji na umeme zipo
Ni mwendo wa dakika 1.5 hadi 2 kwa...
ARC Land Property ni wauzaji wa viwanja vya aina zote vya mkazi na biashara (hotel site, beach plot, nk) viwanja vinapatikana
KIGAMBONI
*VIWANJA VYOTE VIMEPIMWA NA RAMANI ZIMETHIBITISHWA(BLUE...
Nabandika 3D wallpaper majumbani na maofisini.. Kwa ustadi na usafi wa hali juu..
Bei ya wallpaper kwa roll ni 35,000 gundi yake ni 10,000.. Ina uwezo wa kubandika rollers 4..
0713799522
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.