Nyumba inapatikana mbezi beach (nyuma ya shamo tower business park)
Nyumba ina vyumba vinne (viwili ni Master bedrooms)
Ina kabati za vyumbani.
Tiles, gypsums, slides windows plus perving blocks...
Mpingo OG kutoka Kasulu
Vinafaa kwa matumizi ya Nyumbani na Ofisini
Viti bado ni Vipya
Bei kwa kimoja ni shilingi 50,000/=
Bei kwa viwili ni shilingi 80,000/=
Mahala ni Ubungo, Dar Es Salaam...
Habari wadau natafuta injini za kusagia Mahindi za uingereza au Japan HP 40 mwenye anayejua zilipo anielekeze,au anitumie meseji kupitia Namba +255789139153 WhatsApp
Sent using Jamii Forums...
Habari za hasubuh ndugu wanajamvi?
Natumai wikendi yenu ilikuwa njema, na yenye mafanikio, tele, nichukue fursa hii kuwatangazia wana bodi, ambao ni wanaushirika nchini, au wafanya kazi katika...
Je bado una kisima na kinatoa maji ya chumvi JARAM WATERTECH TANZANIA ndio sululisho la tatizo hilo,tuna mitambo safi ya kutoa chumvi katika maji na kupata maji baridi ambayo unaweza kunywa moja...
Hello,
Kim' zebra Adventure & Safari prepared
Valentine Day Tour in Ngorongoro crater and Lake duluti.
1night at hotel full board,2Day tour.
East Africa 150$
Foreign 400$
For more information...
Mpendwa msomaji wetu, kama wewe binafsi au ndugu yako au rafiki yako anayehitaji kusoma Elimu ya sekondari au kusafisha cheti chake/chako cha kidato cha IV katika mwaka wa masomo 2019. Tafadhali...
Dhahabu pamoja na madini mengine toka ardhini yaweza kuwa Akiba nzuri na tosha kwa matumizi ya baadaye.
Bei ya dhahabu duniani haitikisiki sana na iko stable.
Hivyo basi hata nikinunua gramu moja...
Nauza laptop aina ya HP CORE i7
Bei ni 750,000/- nitafute kwa maelewano.
FEATURES:
OPERATING SYSTEM:Windows 10 Professional 64-BitPROCESSOR:8th Gen Intel Core i7-8550U CPU (8M Cache, 1.80 GHz, up...
Je mwanamke unasumbuliwa na PID,UTI fangasi sugu kutoka uchafu wenye harufu mbaya ukeni, kutoshika mimba kupelekea vimbe kwenye mirija ya uzazi (fibroid)siku zako kwenda bila mpangilio tupigie...
NATUMAI MU WAZIMA WA MWILI, AKILI NA ROHO NA MNAENDELEA VYEMA KUIJENGA SERIKALI YA IWANDA.
Bila kupoteza muda swala liko hiv, mm ni kujana mwanafunz wa chuo mwaka wa2. Ninatani kuanza kufanya...
Napenda sana hizi vitu,nataka nii pimp iwe nzurii,safiii ajabu
Ntapata wap hii kitu wakuu ndugu zangu
Nmehangaika sana ,nying nakuta haziko kwenye hali nzuri,yaan mbovu sana
Nataka yenye...
Salaam kwa wote
Naomba wenye utaalamu au ujuzi Wa kupima viwanja nataka kujua gharama za kupima eneo kuwa viwanja,na taratibu za kufata mpaka kufanikisha.
Nina eneo pwani,chalinze heka 8 nataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.