Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza mayai ya kuku chotara,bei trei Tsh 12,000.nipo Dar es salaam.mawasiliano 0652199902 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
734 Views
Wakuu Salama. Ni wapi naweza kupata mashine za kusindika youghurt kwa hapa Dar. Na bei zina range kuanzia mgapi mpaka ngapi? Asante Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu muda mrefu umepita natangaza kuuza hili gari, lipo vizuri mno, yaani ukijaza petrol unatembea kona yoyote hapa bongo bila shida. Nina ukwasi tu wa kifedha, nisaidieni kunitua huu mzigo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa Kikuyu karib kabisa na Chuo cha st John , Kiwanja kina nyaraka zote kama hati za serikali . kinauzwa 16.5mil. Kipo karibu na barabara . KARIBU Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
955 Views
Iphone 6 GB 16 Bei K400 nipo morogoro mjini 0712650183 Simu nzima haina tatizo lolote
0 Reactions
2 Replies
655 Views
Ina vyumba vinne, sebule, kubwa dining,jiko,stoo,imeezekwa msuoth,,mwenye kuhitaji anichek, Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
31 Replies
2K Views
HAKIKA PLAN Hakika plan ni mpango wa bima ya afya unaolenga hasa hasa watu wenye kipato cha kati,lakini mtu yeyote anaweza kujiunga. Mpango huu umegawanyika katika makundi mawili. a)Hakika 5M...
1 Reactions
30 Replies
7K Views
Wakuu kwema?? Nashida na kioo (display) ya Laptop aina ya Lenovo Z575 Inch 15.6 mwenye nacho anicheki. Bei iendane na hali halisi ya uchumi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho. 3 km barabara ya kwenda bonyokwa ni chumba, sebule jiko na choo ndani. nyumba ina alluminium windows, maji, feni tiles gypsum, Sipo ndani ya fensi..100,000 kwa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
1. Machine Wahl zipo 3 @50, 000/= 2. Stelilizer 150, 000/= 3. Feni la juu 50,000/= Maongezi yanaruhusiwa. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wakuu mambo vipi? jamani nimeagiza gari aina ya Rav 4 sasa nilikuwa nataka msaada wa kampuni bora ya clearing ambayo wataweza kunitolea Gari langu bandarini... Kuna kampuni niliwahi kuitumia...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Salaam Wakuu kama ww ni mpenzi wa hizi short timberland au unauza kwa rejareja njoo nikuuzie kwa jumla mzigo ni grade A, zipo kama 40 hivi kama tukikubaliana utakuwa mteja wangu kila nikifungua...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu habari za mapumziko ya weekend. Napenda kuwatambulisha kampuni yenu ya huduma zifuatazo -Air ticketing -Reservation -Airfreight -Seafreight -Clearing and forwarding -Bond ware house Huduma...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tunatoa huduma zote zinazo husiana na logistics kama ifuatavyo : > Sea and Airfreight clearance > Export clearance - Sea & Air > Warehousing > Transportation - Bei zetu ni rafiki - Tunafanya...
0 Reactions
1 Replies
905 Views
HABARI ZA KUTWA WAKUU NAUZA VIFAA KWA BEI YA JUMLA. Hivi vifaa vimegawanyika katika makundi vipo vifaa kwa ajili ya Ufundi wa umeme Ufundi wa magari Na telecommunication. Mzigo unapatikana dar...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunauza tofali imara kabisa za kuchoma. Tupo Babati Manyara. Bei ni 600 kwa 750 Pc 0623 819177 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wandugu, Naomba mnisaidie sabuni ya kusafisha masofa ya kitambaa. Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Habari zenu wanaJF Mimi ni kijana wa miaka 22. Ndoto zangu ni kufungua kibanda cha chipsi na mtaji ninao kama laki 7 hivi. Naombeni msaada wa eneo la kuanzisha biashara hii hapa Dar. Hata...
1 Reactions
1 Replies
968 Views
Mwenye uzoefu wa kuagiza gari nje msaada nn cha muhimu na chakuzingatia nn pia cod ikifika badari
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu,Kuna rafki yangu alikuwa akiuza T-shirt za mtumba za grade one hapa Dar sasa kapata ishu nyingine mkoani uko ya kuzunguka zunguka sana sasa kuna mzigo wa tshirt ulikuwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom