Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wakuu natafuta brand new external 2 za Tb 1 na BUDGET yangu ni 120000 kwa kila moja,, kwa aliyenayo anichek inbox..
0 Reactions
1 Replies
674 Views
KIMOMWE MOTORS LTD tunatoa huduma zifuatazo: 1.Ushauri kutoka Kwa wataalam Wa mauzo(advice from professional sales) 2.Msaada kutafuta /kupiga hesabu ya ushuru na gharama zote za gari(assistance in...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa yeyeto mwenye mawasiliano na dealer ambao wanazalisha vifaranga aina ya layers naomba anisaidieee juu ya gharama na mawasiliano ya watu hao
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Piaggio ace inauzwa Imetumika mwaka mmoja Haina tatizo lolote Ina vibali vyote Bei 4.5m If Interested pm for more info
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Hp hard disk for sale Model (as seen on the picture) Zimetumika Kwa mda mfupi kwenye server (Hp sas servers) Size 1.2 TB Speed 10,000 RPM Price , 150,000 Tsh per P.C. Zipo 10 pcs Interested...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu wakuu? Poleni na mihangaiko Naomba kujuzwa soko zuri la hiriki na pilipili manga hasa ndani ya nchi maeneo kama unguja, mombasa,dar as salaam. Naomba kujuzwa bei ya sokoni hasa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wanajamii forum, hii ni kwa Mara nyingine tena kutoka Tambaza auction Mart and general broker, Tunatarajia kuuza lodge ya mdaiwa wa benk iliyopo maeneo ya kimara kona Sifa za lodge -Ina...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nina toyota camry ambayo imevunja kioo cha kwenye but. Naomba msaada wanapochonga vioo hapa Tanzania, au kenya na Uganda maana Dar es salaam nimetafuta nimekisa Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
2K Views
ukubwa wa zulia mita 3 na nusu rangi ya zulia gray bei 60,000 linapatikana ubungo river side mawasiliano 0675338218 picha hizo hapo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nyumba binafsi & za wageni, Super market & Maduka & Mall, Shule,hosipitali, Benki, viwanda & Migodi.....(Kamera ndogo za magari tunazifunga pia) Zipo Kamera za wireless & kawaida Pia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari zenu kuna mtu kafunga stationary yake na nilikua namdai sasa kaniachia hizi catridge za epson mpyaa pisi 25. naziuza kwa bei rahisi sana kutoka thamani yake halisi ya 25000 mpaka 10000 ili...
0 Reactions
3 Replies
776 Views
Macbook air year 2015 Processor: intel core i5 Ram: 8gb Price 1.1m Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Wakuu natafuta brand new external 2 za Tb 1 na BUDGET yangu ni 120000 kwa kila moja,, kwa aliyenayo anichek inbox..
1 Reactions
0 Replies
417 Views
Clock Masters ni kampuni ya kitanzania inayojishughulisha na ku-brand bidhaa na event mbalimbali ikiwemo kuweka nembo na picha kwenye saa za ndogo za mikononi na saa za ukutani. Bei ya Jumla (Pc...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kisemavyo.naomba mtu au yeyote anaeuza mzani huo.au kama anafaham mtu anauza mzani anipe tarfa. Pia naomba kujua bei yake hapa hapa ili nijue kama stapigwa hapa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habarini wadau! Tuna mbao mchanganyiko kama mninga, mpodo, mkongo, mtondolo, mvule tunakuletea popote ulipo kama unachukua mzigo mkubwa kwa bei nafuu. Pia tuna furniture mbalimbali ambazo...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wakuu Nahitaji kioo (dispay) cha laptop size 17.3" mkanda mdogo... laptop ni acer. Nimezunguka kariakoo kukitafuta mpaka viatu vimechakaa.. Mwenye nacho iwe Dar au Dodoma, naomba...
0 Reactions
1 Replies
467 Views
wakuu salaam. nahitaji battery ya Laptop Dell Latitude E7440. mwenye kuuza tuwasiliane ASAP Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
475 Views
Ni non hosted account yenye $2.39 inauzwa Tsh.35,000.Kama unahitaji ni PM nikupe namba ya simu tufanye biashara.
0 Reactions
3 Replies
906 Views
Back
Top Bottom