habari zenu wakuu
polen na shughul za kusaka tonge la kila siku
husika na mada hapo juu mimi natafuta shamba la kupanda parachichi lililopo katika tarafa ya lupembe.
Bei isizidi...
Dell Sonic wall TZ 400
Ina power cable na adopter yake
Mpya na specs kama inavyoonekana kwa picha
Bei 850,000 TZS
Njoo PM
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hello Wana JF. Naombeni mwenye kujua duka ambalo wanauza machine za kufulia nguo Kwa bei nafuu kidogo Kwa mkoa wa DARESALAAM please Naombeni mnipe contact zao .Au kama Kuna mtu anayeuza...
1.Tunauza wedding gowns za style mbali mbali, size zote, custumized(kutengenezewa kulingana na mahitaji ya mteja),
Zinapatikana kwa Order kutoka kwa watengenezaji moja kwa moja kutoka China!
Bei...
Taxify, Kampuni inayokuwa kwa kasi Ulaya na Afrika katika huduma ya usafirishaji imetambulisha huduma mpya ya ‘TaxifyBomba’ maalum kwa magari madogo, Dar es Salaam, Tanzania.
Kampuni hiyo...
Habari zenu wadau wa Jamiiforums, matumaini yangu kuwa hamjambo, wakati tukielekea kuumaliza mwaka 2018 kuingia 2019 na zikiwa zimebaki siku chache, nikaona ni vyema niwatangazie kuwa nauza vitu...
Amani iwe nanyi[emoji110]️[emoji110]️
nahitaji king'amuzi cha azam hivyo anayeuza au kama unamfahamu anyeuza naomba tuwasiliane niko dar.
Kwasasa bajeti hainiruhusu kununua dukani ndo maana...
vipo viwanja viwili ndani ya mtoni kijichi
maeneo ya miande na kingine maeneo ya kota za bank
1. plot ya kwanza ina square meter 1600 (meter 40 kwa 40)
imezungushiwa fence na ina hati miliki...
Sifa #zinatofautiana# kulingana na Namahitaji ya #MTEJA#
Baadhi ya #SIFA#
Zipo Ndani ya fensi,
Packing eneo kubwa,
Unajitegemea kila kitu,
Swimming pool,
Kaunta ya vinywaji,
Kiwanja cha Gofu...
Habari zenu wadau naomba kujuzwa ile kitu huwa wanaweka ndani ya mito inakuwa milaini( siyo sponge) ni nyeupe kama pamba lakini yenyewe nahisi inakuwa nylon inaitwaje na naweza kuipata wapi nataka...
BERN'S FREIGHT SERVICE COMPANY
Bern's Freight Service with our partnering company Harlos Company
Introducing new service on our sales.
SERVICE
Do you need container. We do sell containers for...
wadau habari za jioni naomba kufahamishwa yale mabegi ya shule ya dukani aina ya biowang je kariakoo naweza kuyapata kwa jumla mitaa gani,maana pande za huku nilizo yanahitajika sana nimeamua...
Wakuu nahitaji usafiri mfupa iwe corolla, premio old model, mark II, chaser, starlet na jamii ya hizo sijalishi namba gani ilimradi iwe inatembea tu.
Bajeti yangu ni milioni 2.
Lete mzigo nikutue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.