Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Location: Udsm Ram 1 Gb Storage 16 Gb Mp 8 Price 290,000 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
743 Views
#WANAWAKELIVETZ tumeandaa program ya Kufundisha ujasiriamali, DARASA hili la UJASIRIAMALI litatolewa bure kabisa, mtaweza kujifunza Ufugaji, kilimo na biashara. Utengenezaji wa sabuni ya mche...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini za saa hizi wakuu, Kuna freezer liko sokoni ni kubwa na limetumika miezi mitatu tu,bei ni sh. 1,400,000/=.liko maeneo ya Temeke DSM
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Zanussi fridge original from uk ina sehemu ya friji na friza imetumika kidogo iilinunuliwa southafrica imarazaidi(kulikobrandzinazoingizwa kwa wingi nchini) .Inatumia umeme kidogo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wana JF, Naombeni msaada kwa mwenye kujua bei za DEEP FREEZER, used au mpya bei zake zikoje? Nitashukuru kama nitapewa mrejesho(feedback) Asante
0 Reactions
8 Replies
7K Views
TOYOTA LANDCRUISER V8 YEAR 2014 Engine: V8, PETROL Transmission: Automatic Km 33,091 Price: TSHS Mill 125 negotiable Gari ni mpya ya Juzi DPK NOW already registered with number DPK Chart with...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nina eneo kubwa la eka 2, liko mbezi luis pembezoni mwa barabara ya kwenda mpiji, natafuta MTU anaetaka eneo kwa ajili ya KITUO CHA MAFUTA nimuuzie haraka iwezekanavyo, kama kuna mtu anamjua...
1 Reactions
71 Replies
7K Views
Habar wanajamii Natafuta nyumba ya kupanga hapa mjin Arusha kwa bei ya kuanzia laki na nusu hadi laki mbili. Mahitaji ni chumba self, sebule, jiko kwa ndan au hata double self itakuwa poa pia...
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu natafuta nyumba ya kupanga sifa za nyumba ninayotaka ni kama ifuatavyo; Nataka nyumba iwe karibu ila isiwe karibu sana na chuo cha kilimo cha sokoine...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za mida wakuu naomba kuwafahamisha kuwa kwa waliopo Dodoma au nje ya Mkoa karibuni mnunue au muuze vitu tajwa hapo juu. Changamkia fursa ya Dodoma kuwa Makao Mkuu ya Nchi yetu ya Tanzania...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimepata
0 Reactions
0 Replies
358 Views
ENEO: KIKUYU WEST NDANI YA HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA. USAJILI: 800-sq NAMBA 34 KITALU A. UMBALI: DAKIKA 15 TOKA MJINI KATI. MATUMIZI: MAKAZI AU HOSTEL MAANA KIPO KARIBU NA CHUO CHA ST JOHN...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu na jamaa, Naitwa Enock, napatikana Mbezi, Dar es Salaam, Tanzania. Mimi ni fundi wa kutengeneza sofa, natengeneza sofa za aina tofauti tofauti na za kisasa. Weka oda yako...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wanajamvi..... Nina dharura kidogo, kwa sasa nahitaji gari kwa ajili ya matumizi yangu binafsi...., hela niliyonayo ni milionn 6-7. Gari ninalohitaji liwe mojawapo kati ya haya:- IST, GX110...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
TAFADHALI NATAFUTA KIWANJA CHA KUJENGA NYUMBA IRINGA MJINI MWENYE NACHO ANI PM
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Kama una kiwanja naomba nicheki, Ujanja ujanja weka pembeni, tutafungana.
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Pet puppies available in kigambon Dar es salaam. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
759 Views
Kiwanja kimefec lami ya Bahari beach, ukubwa 1800 sqm Panafaa biashara, au makazi pia. Bei 295m Maongezi zaidi +255756060183
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, jaman nahitaj mtu anaweza kudesing frem mbele kama hvyo. Mwenye ujuzi anichek pm Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa kipo Nyangomango jaribu na stand ya Nyashishi kimepimwa kama eneo LA kiwanda ni heka mbili bei million 150 kina hati mawasiliano 0758381277
0 Reactions
2 Replies
848 Views
Back
Top Bottom