Tanzania Eco-farm mwaka 2019 inakuletea offa ya mwanzo wa mwaka. Ni punguzo la 30% katika bei za kifaranga wetu. Hii offa mwisho ni 1 february 2019.
Bei zetu za offa ni.
3 inch 250
4 inch 300
5...
Asalam aleykum wanajukwaa
Naomba mnipokee memba mpya ndani ya jukwaa adhiim.
Naam mwaka huu 2019 kati ya ndoto zangu ni kumiliki ardh kati ya ekar 15-20 sehemu yeyote ile Tanzania ambayo nitaona...
Wakuu wa nchi ,makamanda wapambanaji
,naombeni ushauri wenu,nataka kufungua car rent Arusha
na tayari nlishaagiza gari Tatu ,Toyota landcruse prado 2000 diesel 3000 cc,Toyota Noah B 65 4WD ya...
Simu ipo vzuri haina tatizo lolote bado inamuonekano kama mpya.
Ram 1.5gb
Android 6.1
ROM /storage 8gb
4G/LTE
Ipo Dar
Tsh 150000
Piga,Sms, WhatsApp 0689095488
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman Naomba mwenye kujua naweza kupata wapi hyo plastic +aluminium nyeupe inayowekwa ukutan kwny maduka anisaidie. Inapatikana wapi na bei ikoje na wanapima vipi. Please nahitaj sana. Na...
Gari aina ya Toyota Rav4 5doors linauzwa, ni la mwaka 2003 bado halijatumika Tanzania na limesajiliwa kila kitu,bei ni milioni 20.tuma email kwa p.ayubu@yahoo.com au piga simu namba...
Habari wakuu....na ombi dogo tuu nataka kujua cement mixer ukodishaji ni sh ngapi?iwe ya petrol honda engine na kama ununuaji ni sh ngapi?used....asanteni
Hi Wadau
Hapo nyuma nilimuomba mdau mmoja wa humu ndani mheshimiwa marketer aniwekee tangazo la my blog ya www.tanzaniastylers.blogspot.com inayohusu mambo ya harusi, ikakosolewa sana na kupata...
Nampango wa kununua kagari ka kufanya mizunguko hapa mjini dar.na kwenda kanisani.nime preffer minpajero ka cc660 au nissan march.je naweza kwenda safari za mbali kama km 800,na uimara wake pls.
Habarini. Husikeni na kichwa cha habari. Nahitaji kiwanja cha zaidi ya miguu 20 katika maeneo tajwa. Bajeti kuanzia Milioni 3-5. Ningependa kulipa kwa installments. Mnakaribishwa
HP Folio 9470M
Core i7 HDD 320GB RAM 4GB
Intel Graphics card 2GB
Wireless,bluetooth,DVD,Webcam etc
Used in best condition
FRER BAG
Bei: 540,000/=
Simu: 0656190449
#SKMOFFER
Dell latitude D620...
Habarini,
Natafuta mtu mwenye mashine kama hii hapa (kwenye picha)anisaidie kitu maana nashindwa kupata matokeo bora kwenye utotoleshaji.
Shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.