Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wazee hivi viatu nilinunua kwa ajili ya kuvaa mwenyewe ila vimenibana mana ni namba 41. Km umevielewa nicheki unirudishie hela Viatu ni vya mtumba, Bei ni 40,000/= tu, Namba ni 41 Sent using...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naitaji au natafuta chumba cha kupanga morogoro mjini garama iczidi 20 au 25...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Tuna usafi wa aina 2 kwa ajiri ya gari yako 1.Gari itaoshwa nje na ndani bila kutoa kitu. 2.Gari itaoshwa nje na ndani kwa kutoa viti vyote na kisha kufanyiwa usafi wa kina kila sehemu kwa umakini...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Wapi linapatikana soko la choroko na bei ikoje maana huku mtwara hamna wanunuzi
0 Reactions
6 Replies
4K Views
husika na kinywa cha habari hapo juu Mimi ndugu mwana jf ninahitaji line ya vodacom m pesa iwe double line ambaye anayo aje [emoji395] Location dodoma [emoji404] tukikubaliana [emoji395]...
0 Reactions
2 Replies
698 Views
  • Closed
Wapendwa wana jamii forums, wanangu yamekwama kurudi shule, na njia ya haraka kujinasua ni kuomba msamaria mwenye uwezo wa kunikopesha 3M..ndani ya miezi3 namrejeshea na riba atayohitaja...
0 Reactions
80 Replies
7K Views
Habari Wana jamiii nauza television aina ya sumsung old model kwa bei rais lakin ina tatizo kidogo la kubadilisha kiooo Ila ina Waka vizuri kwa bei cheee Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
KIFUSI KINAHITAJIKA TUANGOMA MWENYE NACHO TUWASILIANE
0 Reactions
1 Replies
629 Views
Serious buyer pls inbox Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
469 Views
Fika ofisini kwetu tegeta njia ya wazo au piga simu namba 065716052
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wadau,mwenye kuhitaji tuwasiliane
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za uzima, Kama unauza laini za tigo pesa basi nitafute niko DSM 0756587380
0 Reactions
2 Replies
982 Views
Habari za kazi na mihangaiko wakubwa naenda straight kuna line ya uwakala /wakala ya TIGO inapatikana bei 170,000 kama upo na need na hii kitu njoo inbox nawatakia siku njema wakuu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Asalam aleykum wanajukwaa Naomba mnipokee memba mpya ndani ya jukwaa adhiim. Naam mwaka huu 2019 kati ya ndoto zangu ni kumiliki ardh kati ya ekar 15-20 sehemu yeyote ile Tanzania ambayo nitaona...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
CLEARANCE SALE MPENDE MWANAO Hii ni PVP Station Inakuja na michezo 3000 Unaweza itumia kwenye TV Ongeza IQ ya mwanao Ni rechargeable PRICE 55000 TSH Call 0719389990 BUY 3 GET 1 FREE Punguza...
0 Reactions
0 Replies
557 Views
Kheri ya Mwaka Mpya 2019 Nauza dagaa wa Songea wengi hata gunia ukitaka.. Sado 1 shs 20,000 rejareja..!! Tuko Ilala, Dar sehemu yoyote unaletewa..!! Jumla sado shs. 18,000 Karibuni Call. 0757...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Asali ni moja ya chakula chenye kazi kubwa mwilini hutumika pia kama dawa kwa kutibu magonjwa mbali mbali mwilini hivo inakupasa kujenga mazoea ya kuitumia kila siku kwa kuanzia Kama kifungua...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamii, unakaribishwa katika safari ya mafunzo ya fursa zitokananzo na bidhaa za kilimo. Tafadhali Fungua kiambatanisho. Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
0 Replies
822 Views
Laptop hp Ram 4 Gb Hdd 320 Gb Processr 2.6 Iko safi inakaa na chaji 490 k Oppo A57 Ram 3 gb Internal 32 gb Simu bado mpya imetumika week 2 400 k Huawei honor Zote brand new full box 32 gb na...
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Back
Top Bottom