Habari wakuu nahitaji risiva tajwa hapo juu kwa ajili ya kukamata chsneli za canal+ 22w na my tv 16w,
Awali nilikuwa natumia freesat v7 max ila niliiuza kwa sababu niligundua haikidhi mahitaji...
Habari!KIMOMWE MOTORS LTD inajihusisha na kuagiza magari kutoka Japan na Uingereza,natuko hapa kuhakikisha tunatimiza ndoto yako yakumiliki gari yako kwa bei nafuu kabisa!
Gari huchukua siku 30...
Hii ni kwa shughuli za harusi, send off, birthdays kipaimara ubatizo,mahafali pamoja na shughuli zote zinazohitaji vipaza sauti.. Contact 0657279927/0767683094..
Harrier engine ni 5s
Mwaka 2000
Kms 98000
Namba c
Bei mil 11
Gari Haina tatizo lolote
Karibuni kwa mawasiliano 0620250321
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji vitabu vifuatavyo. Nanunua kwa bei nzuri kuanzia shilingi elfu sabini (70,000) kwa kitabu kilicho katika hali nzuri. Kama una kimojawapo kati ya vitabu hivi tuwasiliane. Nahitaji kwa...
NABWAGA Laptop
Used
Dell latitude D620
Core 2 duo
Ram 2gd
HDD 160GB
Price 165000 TSh
Call 0719389990
Picha njoo inbox
Sent using Jamii Forums mobile app
*MXQ Pro 4K*
Android Smart TV Box
*Turn your Tv into Smart*
Kwanini upoteze PESA zako kununua kingangamuzi na kulipia kila MWEZI?
Device hii ndio mkombozi wako itakuwezesha kuangalia Channel...
Duka zuri la Vinywaji vya Lejaleja linauzwa Dar es salaam maeneo ya Mbezi ya Kimara, lipo sehemu lilipo soko la Mbezi zamani Uwanja wa Shule...... Unaruhusiwa kuja kuona mzunguko wake wa...
Viwanja vinauzwa goba maeneo ya lastanza upande wa kushoto kutokea masana vimepimwa na hati kila kimmoja kina square meters 1800 vilikuwa 6 now vimebaki 3 karibuni sana mwenye eneo anaishi hapo...
Asalam aleykum wanajukwaa
Naomba mnipokee memba mpya ndani ya jukwaa adhiim.
Naam mwaka huu 2019 kati ya ndoto zangu ni kumiliki ardh kati ya ekar 15-20 sehemu yeyote ile Tanzania ambayo nitaona...
Camera Olympus Pen E-p3 inauzwa
Ina miezi 8 tangu inunuliwe
Inafanya kazi kama ilivyokua mpya
Bei ni 600k tsh.
Napatikana morogoro
Viambata hapa chini ni picha ya , Camera yenyewe, charger ya...
Nyumba ipo Kimara Baruti kutoka morogoro road ni dk 4 Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom sebule jiko pamoja na public toilet Ina Tailz jipsum na MAJI yanatoka ndani masaa 24 pia...
Kama kuna sehemu inajengwa kisasa, kimpangilio na kwa utaratibu wa hali ya juu ni kigamboni. Kama umefanikiwa kufika kibada, shangwe, ungindoni na tuangoma utakubaliana na mimi.
Kwa mtu...
Habari za sikukuu ya Pasaka?
Napenda kuutanganizia umma kuwa kutakuwa tukio la kupanda mlima Kilimanjaro 5895 MT, tarehe 9 mwezi wa SITA mwaka 2014 kupitia njia ya Marangu kwa siku 6...
DVB T2 RECEIVER FULL HD
Support over 240 FREE channels
All local channels included
Support WIFI for Youtube
Support USB Multimedia playback
Support PVR
ANGALIA CHANNEL 240 BURE KABISA BILA MALIPO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.