Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nahitaji laini ya tigopesa na m pesa haraka sana npo morogoro mwenye nazo anicheki tufanye biashara mapema!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Vifaa vya saloon ya kiume vinauzwa mmiliki anataka kubadili biashara. kwa anayehitaji kuviona na maelewano ya bei namba hii hapa 0754 634763 . Vipo Dar es salaam
0 Reactions
6 Replies
5K Views
For Best Price & Quality Products. 'll launch on 2nd January 2019, Free delivery. "Merry Christmas in advance to all" Best Regards, Moses Nandu (Production officer)
0 Reactions
1 Replies
586 Views
I have decided to give kile nilichokuwa nacho kuhusiana na forex trading. Sina experience kubwa sana sababu na na mimi ni mmoja ya watu waliojifunza baada ya Ontario kuwa ameweka bandiko lake...
4 Reactions
62 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu.Nina shida na mabwawa ya samaki aina hii nimeambatanisha picha hapa chini.naomba nifahamishwe kwa hapa Tanzania yanapatikana wapi.Natanguliza shukrani.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
TUNAUZWA LAPTOP MBALI MBALI MPYA NA USED KUANZIA 450,000 NA PERSONAL COMPUTER MPYA NA USED KUANZIA 300,000Tsh NA KUENDELEA , SIMU 0713-95-92-90
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu,nauza simu tajwa hapo juu ni mpya Ina siku 3 kutoka dukani Bei laki 2. Kwa mteja aliye serious anifate pm au aache comment hapa nitamfata pm mahari ilipo simu ni Kibaha kwa mfipa.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu, Ningependa kujua bei ya Stainless Steel sheet na Aluminium Sheet Dar es Salaam haswa Kariakoo. Na bei ya vyuma vingine.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
HABARINI WANA-JF, Kama title inavyojieleza hapo juu nauza tanks za maji aina ya POLYTANKS zipo za ujazo wa aina tofauti ila kwa sasa zimebaki tanks za lita.10000 tatu na lita.5000 moja, bei kwa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
wadau singida pikipiki bei gan? kinglion, sanlg na haojue?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Maisha ni nyumba. Nyumba bora yenye viwango itakufanya uishi kwa furaha. Kwa nini upoteze furaha na fedha zako kwa kuezekea mabati yanayopauka kwa muda mfupi? Njoo Ando Roofing Products uchague...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Naomba kujua bei ya vitunguu maji kwa sasa.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habarini! Nahitaji battery na charge yake ya Canon D100 compact Asanten
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Stand mixe yenye ujazo lita 4.2 Sawa na kg 1.5 mpaka kg 2. Njoo uchukue kwa LAKI TATU TU[emoji108] Brand ya NIKURA Na SONASHI Ni mpya Warrantee 1year Tupigie 0672493810
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wenye kujua machimbo ya vifungashio vya popcorn na korosho tujuzane jaman
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Tuna ya kufunga mwaka kwa ajili yako Tunakuchorea Tunakusaidia kufuatilia kibali cha ujenzi Tunakujengea Whatsup /call +255624004650
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF, Nawataarifu kuwa nauza simu aina ya iphone 8 ina week 4 since nimenunuwa. Haina tatizo lolote lile nipo tayari kukuletea popote ulipo ukaikagua ili kujiridhisha then ukainunuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana jamvi... Nahitaji kujua mahali wanapouza power tila hapa dar(full) na ikiwezekana kujua bei pia nitashukuru sana. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
2 Replies
927 Views
ORIGINAL EARPHONE SUPER BASS.........FREE DELIVERY AT MOSHI Katika maisha hakuna kitu kizuri kama kuuziwa kitu imara na original . Tumezoea kununua earphone kila mara kwasababu hatupati earphone...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Camera Sony Nex 5 Lens 18 - 55 mm Inapo bado na box lake, user manual, charger na Flash Camera bado inahali nzuri... Imetumika siku chache tu. Nicheki inbox kwa maelezo zaidi na mawasiliano
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Back
Top Bottom