Habari wadau jf,!? Naomba msaada:
Ninahitaji frem (kubwa kiasi) ya biashara (duka la bidhaa mbalimbali - jumla na rejareja) eneo NJIA PANDA YA SAME...... Moshi - KilimaNjaro)....
Eneo la...
Salaam., natafuta mwekezaji wa kuwekeza chochote atakachoona kinafaa kulingana na eneo lilivyo.
Eneo lipo Tanga, Pangani karibu kabisa na beach, ni mita 100 kutoka baharini(mita za serikali na...
ORIGINAL EARPHONE SUPER BASS.........FREE DELIVERY AT MOSHI
Katika maisha hakuna kitu kizuri kama kuuziwa kitu imara na original
.
Tumezoea kununua earphone kila mara kwasababu hatupati earphone...
Kinahitajika kiwanja chenye Hati miliki eneo Bunju beach,mbweni, Tegeta pasiwe na maji kutuama. Pawe panafikika ili hata ujenzi was biashara uwe na wateja.kikiwa karibu na barabara si mbaya...
Kichwa cha somo chahusika, kwa yeyote mwenye eneo lenye ukubwa kati ya sqm 700 hadi 1000, tunahitaji kuhamishia kiwanda chetu. Tutakodi eneo hilo. Mwenye nalo atujulishe. Karibuni PM
habari zenu wapenz, natumaini mko poa.
naombeni mwenye kujua yanapouzwa mafuta ya mbegu za mawese, nahitaji kuwasiliana na muuzaji kama unauza au una rafiki yako anauza, nipm tuongee biashara. au...
Je wewe ni BLOGGER ama mdau wa elimu na una nia ya kuanzisha BLOG ama WEBSITE ya MASOMO YA SEKONDARI??
Jipatie full PACKAGE (content ) ya notes kuanzia KIDATO CHA KWANZA mpaka CHA SITA kwa ajili...
Ilikuwa ni mwaka 2000 mbele ya umati wa watu nchini Marekani; Ndugu John Lackey akishangiliwa baada ya kupewa TUZO (Reward for Best Project Management of a Utility Plant in the United State)...
Wanajamvi karibuni mniungeee mkono nakodisha mabasi kwa safari/ shughuli ( harusi,misiba,picknic,familytour,) zozote ndani na nje ya Tanzania
Tuna Toyota coaster na Hino rainbow
Ya abiria 28 na...
Wadau habari zenu?
Kwa wale wanaohitaji kupata barua za mwaliko"Invitation letter" kutoka nchi mbalimbali wanazotaka kutembelea,na wameshindwa kupata passport au VISA,basi wawasiliane nami ili...
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS:
Be known Be promoted.
Kwa Mahitaji ya nyumba za kupanga, kununua, kuuza, viwanja n.k.
Wasilina nasi TANGAZA MARKETING SOLUTIONS :
Contact : 0785074040, 0767074040...
Nauza modem yenye kasi ya 4G unaweza kutumia laini yeyote ileeeeeee......
Simu no....0714265340
Napatikana Dar Yombo Dovya TMK
Bei ni rahisi we nitafuteeee
mashine za kufumia masweta zinauzwa ziko tatu pia zina hali nzuri kabisa sio za wizi ni mtu kapatwa shida ndio anaziuza zipo complete ziko mwanza kama kunaanaye hita ji ani pm tufanye biashara bei...
hamjambo wakuu.
mi kijana mdogo kati ya wadogo wote, natafuta mashine ya kukobolea mpunga ambayo ina kila kitu yaani rice paddy cleaner, destoner, separator, grading unit, etc.. yenye capacity ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.