Heshima kwenu wakuu,
Nauza kwa pamoja kuku chotara mbegu ya sasso... Mitetea na majogoo. Wote wana miezi 6, Mitetea ndio wanaanza kutaga na Majogoo yanaanza kuwika., Wapo Goba-Kinzudi
Mitetea...
Nauza Xiaomi Redmi Note 5 mpya sealed kwenye box.
Key specifications: RAM 3GB, Screen Size: 5.9", Memory 32GB, Camera Dual (12MP + 5MP) Front Camera 13MP, Android 8, Battery 4000mAh.
Bei Laki 5...
Wakuu, salaam!!!..
Ninahitaji used Landcruiser Hardtop, Pickup, Station wagon au Van, iwe na engine ya 1Hz, (engine tofauti na 1Hz tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo pia), iwe katika hali...
Wakuu, salaam!!!..
Ninahitaji Landrover 110 - 300 Series, iwe station wagon, van, pickup n.k ili mradi iwe katika hali nzuri.
Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790...
Rejareja
8*8 @80000(shuka 2 na foronya 4)
Jumla kuanzia pea 10
8*8 @65,000/=(650,000/=)
#bidhaatz
Gharama ya usafiri juu ya mteja,na waliopo mikoani tunawatumia pia kwa uaminifu
Tunapatikana...
Wakuu, salaam!!!..
Ninahitaji Landrover 110 - 300 Series, iwe station wagon, van, pickup n.k ili mradi iwe katika hali nzuri.
Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790...
NDUGU ZANGU WANA JF, NAOMBENI UZOEFU KWA MWENYE UELEWA WA MAGARI YAFUATAYO,
1.. NISSAN PATROL YENYE ENGINE TD42
2..TOYOTA PRADO YENYE 2700 CC 3RZ ENGINE
3..LANDROVER DEFENDER TDI 2500 CC...
Wakuu, salaam!!!..
Ninahitaji engine ya Landrover 110 - 300 Series.
Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790
Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni moja na nusu...
Habari!
Naitwa Risker, ni Mshauri na Mchambuzi wa mambo ya kibiashara. Nakaribisha watu wenye Mitaji Midogo, Ya Kati na Mikubwa wanaotaka kuwekeza kwenye soko la Tanzania na nje Niweze kuwapatia...
NAUZA ENEO LA BIASHARA, SQM 1280. KIWANJA KINA HATI, KIPO MBEZI MWISHO KARIBU NA MOROGORO ROAD YA ZAMANI. NI CHA KWETU. HAKUNA DALALI. MADALALI PIA MNAKARIBISHWA. 0659997074 (whatsapp, calls &sms)...
Ipo kundichi madini, vyumba 2 vyote ni self
Sting rom, jiko nk
Nyumba zipo 3 kwenye compound,umeme na maji vipo
Bei 350,000/= kwa mwezi
Mawasiliano zaidi +255756060183
Unagonja nini?
Wahi sasa ujipatie mashine hizi kwa gharama nafuu kabisa zikiwa ni mpya kabisa.
Hitup motorized treadmilll with no incline
User maximum weight 11,000
Tsh 1,400,000
Maximum speed...
Habari bandugu,nina car washer naiuza 600,000,blower naiuza 250,000 na compressor ya lita 50 naiuza 300,000 nilikuwa na car wash sehemu baada ya kuletewa mazonge na wafanyakazi nikaifunga vifaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.