Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Uwanja uko ununio na umefec lami, panafaa biasha na makazi pia. Size plot 3188 sqm Bei 250m Bei inamaongezi. Mawasiliano zaidi 0756060183
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Model Code - CBA-TD54W Version / Class - 2.0XG Engine Code - J20A Location - Wazo Dar Es Salaam Steering - Right Fuel - Petrol Seats - 5 Doors - 5 Dimension - 4.39x1.81x1.69m M3 - 13.429...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wapendwa. Nina ulizia wapi inapatika mifuko ya plastiki ya kuhifadhia nafaka (mfano mchele, maharage nk.) kwa ujazo mdogo wa 2kg, 5kg na 10kg. Mfano wa mifuko ninayo ulizia nimeweka picha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau kwa anayejua Saloon za watoto wa kiume hapa dar. naomba kujulishwa tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninatamani kukodisha gari (coster ) kwenda Rombo mkuu kwa Christmass. Nahitaji watu wa kuchangiana nao.Tuwe kama familia 4 hivi Makadirio kila mtu atoe 300,000. Natarajia kuondoka Ijumaa ijayo...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Njoo
1 Reactions
3 Replies
853 Views
Nahitaji used Desktop 10-System Unit +Specification +Ram at least 3gb +HDD at least 250gb +Processor 2.5 GHz or duol or i3 +must be HP or dell System unit tu weka bei na specification
0 Reactions
0 Replies
297 Views
Kwa architect mbunifu anayeweza kunitengenezea kazi nzuri ya kissasa please PM
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wapo 500 Dar msasani karibu na ccbrt Bei 5200 0738832076 au 0173906616
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sony Experia Z3 Display 5'2 | ram 3gb Network 4G | Storage 32gb Camera 20.7mp LED Flash Ina Grove mode Battery 3100mAh Used like new Price 220k
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Za asubuhi wadau. Kama tangazo linavyojitangaza nahitaji feni na budget yangu ni 30,000. Kwa mawasiliano zaidi nicheki kwenye hii number 0712 22 02 07.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama tangazo linavyosema nahitaji dryer la saloon ya kike budget 100,000. Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwenye namba zifuatazo 0712220207
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Habari ndugu na jamaa, Naitwa Enock, napatikana Mbezi, Dar es Salaam, Tanzania. Mimi ni fundi sofa natengeneza kwa oda, naweza kukufuata mahali ulipo au unaweza kufika ofisini kwetu Mbezi mwisho...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninauza kuku wa nyama kila mmoja kwa TZS 5500 ikiwa mtu atanunua kuanzia kuku 400. Shamba la kuku lipo Bunju. Na tunakufikishia oda yako popote ulipo ndani ya mikoa ya Pwani na Dar es Salaam...
3 Reactions
2 Replies
913 Views
Hili swala la dactari kutandikwa konde kisha akawekwa kwenye cage kwa muda na mchezaji hakupewa kadi likoje kiutaalamu wa michezo. Maana ajaonekana kuwa damu zimemtoka na alikuwa anatumia tissue...
0 Reactions
4 Replies
811 Views
Satelite finder inatumika katika kufunga madishi au kurekebisha dishi endapo litayumba, Mafundi wakufunga madishi mnakaribishwa #acha kufanya kazi yako kwa kukariri. Pia yeyote waweza inunua ili...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
INAUZWA SONY EXPERIA Z Storage 16 gb | Ram 2 Camera 13mp LED Flash 1.- dust proof and water resistant over 1 meter and 30 minutes 2.-Front/back glass, plastic frame Condition used like new No...
0 Reactions
0 Replies
457 Views
Inahitajika mashine mpya ya photocopy CANON IR 2204 ni sh. ngapi kwa Dar es Salaam?
0 Reactions
12 Replies
13K Views
Nauza Asali mbichi ya nyuki wa Kubwa Karibuni bei kwa lita 1 sh.15,000/-
0 Reactions
1 Replies
481 Views
Back
Top Bottom