Kwa wanaitaji samaki sato na kambale wa kufugwa bwani !ni fresh navua siku moja kabla ya kupeleka mzigo (delivery) napatikana dar es salaaam bei Tsh 7000 per kg
Karibuni
Tuna peana offer hii kwanzia Taree 17/12/2018 adi taree 01/01/2019, kwa wasanii ambao wanaanza mziki, Wowote iwe Gospel, au nyimbo za mapenzi,
EMB RECORDS ipo inchini Kenya, Nairobi Street, ili...
LOCATION :CHANGANYIKENI
SPECIFICATIONS: 3 BEDROOMS INCLUDING 1 MASTER-ROOM, KITCHEN, STORE, AND PUBLIC TOILET.
QUALITIES: GYPSUM, TILES, SECURITY, PARKING WATER AND ELECTRICITY.
PRICE :800K
"THE NETWORK" Tunaleta huduma mikononi mwako.
Habari wakuu..!
katika pitapita za kimaisha nmekutana na hali ambazo ninakuwa na uhitaji wa kupata huduma flani kwa haraka pasipo kujua jinsi gani...
Sasa unaweza kulinda vifaa vyako vya umeme kama simu, computer, friji na mashine nyingine za umeme tumia nano protech spray itakayolinda kifaa chako kwa mwaka mzima.
Tunapatikana mtaa wa ungoni...
Wadau, natafuta injini ambayo itafiti kwenye KAWASAKI KMX200,ina ukubwa kama Baja, sasa niweke injini ipi yenye nguvu nzuri , iwe ya kichina au kijapani, na kama bei inafahamika naomba kupewa majibu
Habari za majukumu ndugu,
Nimepata changamoto kidogo, nauza mbao zangu zilizokua site kwaajili ya Ujenzi.
Nimeamua kuuza ili kutatua changamoto binafsi nilizo nazo za kifamilia.
IDADI YA MBAO
2*2...
Habari zenu wakuu..Nina vifaa vya ujenzi(used) nilinunua toka UK kwa ajili ya biashara ya kukodisha. Kwa bahati mbaya yule aliyekuwa asimamie biashara hiyo alitangulia mbele ya haki, hivyo...
Habar ya kazi wakuu,natafuta zile machine za kuprint t-shirts na cups nipo dar maana kuna siku nilizunguka sana k/koo nikakosa,msaada wapi nitazipata:rolleyes:
Nyumba iko temeke na imatizamana na uwanja wa Taifa
Pako vizuri kibiashara na kwa sasa kuna bar na nyumba za kupangisha
Bei 650m
Bei hii ina maongezi
Maongezi zaidi au kuja kuona wasiliana...
Tunauza vifungashio vya bidhaa kama vya Sabuni,Rotion,Jam,Pinut butter,Shampoo,Unga nk.printing pia ipo.Darasa linaendeshwa online through Whatsup group no.+255 713262188 kwa Ada ya 10,000/= na...
Nimenunua godoro si zaidi ya miezi minne iliyopita la banco , lile la size ya mwisho. Niliamini Super banco ni zuri na wametoa guarantee ya mwaka. Lakini, sasa hivi ni chanzo cha kuamka shingo au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.