MSIMU HUU SIKUKUUU DRAGON MABATI INAPENDA KWANZA KABISA KUWATAKIA WATANZANIA WOTE NA WATEJA WAO WOTE MAANDALIZI MEMA YA SIKUKUU YA CHRISSMASS & MWAKA MPYA 2019 NA PIA KUWAKARIBISHA WATEJA WETU...
Husika na kichwa tajwa hapo juu blog ambayo inajumuisha na account yake ya adsence ambayo imeunganishwa inauzwa Tsh 150,000. Tu inafanya kazi vizuri. Kama unahitaji upointerested na hili...
Nauza kiwanja kilichopo toangoma kwa yatima(Funcity), kutoka barabara ya lami ni KM 1.
-Ukubwa wa kiwanja ni 15*20
-Bei Milioni 4.
Hakijapimwa ila kina hati ya makabidhiano
-Viko viwanja viwili...
Wajenzi wa nyumba za gharama nafuu & wauzaji na wasambazaji wa vifaa vya ujenzi kama ;mbao, marine board, plywood, gypsum board, nondo, mabati, mirunda nk
Unakaribishwa kujiunga na program zetu za mafunzo mbali mbali kama ifuatavyo:-
a) Elimu-Kombozi
b) Kozi za Computer
c) Tuition kwa masomo mbalimbali
d) Kujifunza Kiingereza ndani ya muda mfupi
e)...
Nauza Laptop Samsung
Core i3
RAM 2GB
HDD 250GB
Battery masaa 4
Tatizo ni mstari kwenye kioo hapo
Mashine ngumu, Imara na iko fasta sana
Bei ni 250,000 tu haipungui
Contact 0712222575
Kwa wale wanaopenda kujiongezea kipato kwa kutumia smartphone na b zako jiunge na jamalife helpers global Ltd.kwa shlingi 16000 ujionee ni jinsi gani inaweza kukuzalishia mkwanja mrefu kwa...
nahitaji kununua pooltable iwe katika miji ya Arusha Kilimanjaro Tanga Pwani na Dar essalaam iwe ya kenice au Sido iliyonyooka
ubao uwe wa dongo na usiwe umeungwa
budget 700000
kama ni nzur...
Mambo vp wanaJF
Baada ya kusaka kazi kwa Muda mrefu kwasasa nmepata kazi katka jiji la arusha na natakiwa kuanza January 2...hv sasa natafuta nyumba ya kupanga na kodi ianzie 150000 hadi 200000...
Wadau nahitaji samsung galaxy note 5 au s6 edge iliyo tumika iisiyo na tatizo lolote bajeti yangu ni 200000
Napatikana dar kwa mawasiliano zaidi njoo pm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.