Nauza kiwanja kilichopo toangoma kwa yatima(Funcity), kutoka barabara ya lami ni KM 1.
-Ukubwa wa kiwanja ni 20*20
-Bei Milioni 4.8
Hakijapimwa ila kina hati ya makabidhiano
-Viko viwanja viwili...
Cardet! Cardet! Cardet! Za kijanja
Size kuanzia 30-36.
Za Kuvutika na Zisizovutika pia hazipauki kirahisi.
Delivery Popote Pale kwa Dar City centre ni Free ila tofauti na hapo Unachagia 2000.
Na...
Nauza kiwanja kipo chamanzi mfenesin nyuma ya kota za mzungu ukubwa ni 48/43/40/30 kipo pazuri mnoo nakimepakana n barabara 2 za Mtaa ukiitaji ni call kw0 0719220334 bei ni million 2.8 tu
Do you have an innovative business Idea? Are you currently looking for full time support to help you launch your startup?
We are offering a limited slot to few aspiring and budding entrepreneurs...
AGIZA GARI NASI AUTOCOM JAPAN-gharama nafuu|ubora Hali ya juu
Toyota Noah | 2003
cc 1990 | 2wd
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
Gharama kamili mpaka usajili--10.5mil
Kisaka...
AGIZA GARI NASI AUTOCOM JAPAN-gharama nafuu|ubora Hali ya juu
Toyota Noah | 2003
cc 1990 | 2wd
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
Gharama kamili mpaka usajili--10.5mil
Kisaka...
Habari zenu wadau! Naomba kuuliza ni wap kwa hapa Tanzania naweza kujifunza Lugha ya kiingereza na nikaelewa vizuri kukizungumza kwa ufasaha? Na bei zao zikoje na ni kwa muda gani naweza kujifunza...
habari!
je unamiliki biashara yoyote hata kama ndogo iwe ya duka la madawa,duka la nguo au biashara yoyote ile,sasa tunatoa offer ya mwisho wa mwaka kwako tunakutengenezea website yako kuanzia...
Poleni na majukumu wana jamvi!
Nina kiasi cha laki tano, ninaomba kujuzwa juu ya aina ya friji yenye milango miwili ambayo ni nzuri na ninaweza kuinunua kwa hela niliyonayo.
Niko Dar es salaam...
Hello guyz!... Msaada tafadhali kuhusu hili, nimeona company ya kutengeneza ream papers from Kenya, kiwanda kinaitwa JKT Global Products Limited Kenya.
Ila sijaweza kujua jinsi ya kumpata Supplier...
Habari, sabuni za maji zinapatikana kwa bei poa ya sh.7000 tu
Ni nzito sana, nzur kwa matumizi ya usafi kwa ujumla
Kufua nguo
Kuosha magari
Haichubui mikono
Weka oda yako uletewe mpka nyumbani...
Majani lishe ya kupunguza uzito yanapunguza kilo 15-20 kwa mwezi
Haya ni majani lishe yatakayokusaidia kupunguza uzito kuanzia kilo 15 hadi 20 kwa mwezi ukitumia majani haya hauharishi na matokeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.